- 4 -
البيان الحقّ في زكاة الفطر
Bayana Ya Haki Katika Zaka Ya Fitri
https://albushra-islamia.com/showthread.php?p=6207

اقتباس المشاركة :
Kushiriki Asili imeandikwa kwa njia ya kaumu Anawapenda Allah na Wanampenda
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabilalamin kwa munasaba ya kuingia mwezi wa Ramadhan, Nini hio zaka ya fitri ( Zaka ya Ramadhani)?
Na je inajuzu kulipa zaka ili kusaidia kununua kituo cha mimbari ya Al'Mahdi Al'Muntadhar kwamfano?
Ama vitu kama hivi inakua ni katika vitu va kujitolea ju ya faradhi ya lazima wala sio katika asili ya faradhi ya lazima ya zaka? Na salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin.
انتهى الاقتباس


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Unae Uliza Mkarimu, Hakika mimi sijapata zaka imefaradhishwa inaitwa zaka ya fitri wala zaka ya Ramadhani katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran, ispokua ilikua ni mbinu kutoka kwa watawala na wanazuoni wao ili waongeze uchumi wa betulmal sio ila hivo; Bali naweza kufafanua nguzo ya zaka ilio faradhishwa ufafanuzi kutoka kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi vipi Allah Atafanya zaka ingine? Bali nguzo ya zaka ni moja, Na sisi twazungumza kuhusu zaka ya faradhi ni nguzo katika nguzo za kislamu na yenye umuhimu mkubwa katika dini na ma taifa ya waislamu. Na Ama suali lako ambalo unasema ndani yake:
" Na je inajuzu kulipa zaka ili kusaidia kununua kituo cha mimbari ya Al'Mahdi Al'Muntadhar kwamfano?
Ama vitu kama hivi inakua ni katika vitu va kujitolea ju ya faradhi ya lazima wala sio katika asili ya faradhi ya lazima ya zaka? Na salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Na kisha nakujibu kwa haki hakika ya zaka Hakuifanya Allah peke ni ya ma fukara na maskini, Ispokua Amefanya Allah kwao sehemu ndani yake bila malipo, Na sehemu yao ni inao tosheleza mahitaji yao na kuondosha nja yao pekeyake, Na wala hakuna sehemu ya matajiri ndani yake ispokua kwa malipo ama kama mtawala anaona kuna hikma ndani yake, Lakini wanao ismamia nayo wanalipwa ndani yake kwa kazi yao, Na hivo hivo alikua Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Ansmamia jeshi lake kutokana na zaka, Na Akasema Allah Ta3ala:
{هُمُ الَّذِينَ يَقُولُونَ لَا تُنفِقُوا عَلَى مَنْ عِندَ رَسُولِ اللَّهِ حَتَّى يَنفَضُّوا وَلِلَّهِ خَزَائِنُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَلَكِنَّ الْمُنَافِقِينَ لَا يَفْقَهُونَ} صدق الله العظيم [المنافقون:7].
Allah Ta3ala Asem: { Hao ndio wanao sema: Msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, ili waondokelee mbali! Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye khazina za mbingu na ardhi, lakini wanaafiki hawafahamu } Sadaqa Allah Al3adhim [Almunafiqun:7].


Bali zaka sehemu yake kubwa kutoka nayo ni matumizi yake ya saba katika njia ya Allah, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّمَا الصَّدَقَاتُ لِلْفُقَرَاء وَالْمَسَاكِينِ وَالْعَامِلِينَ عَلَيْهَا وَالْمُؤَلَّفَةِ قُلُوبُهُمْ وَفِي الرِّقَابِ وَالْغَارِمِينَ وَفِي سَبِيلِ اللّهِ وَابْنِ السَّبِيلِ فَرِيضَةً مِّنَ اللّهِ وَاللّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ} صدق الله العظيم [التوبة:60].
Allah Ta3ala Asema: { Wa kupewa sadaka ni mafakiri, na masikini, na wanao zitumikia, na wa kutiwa nguvu nyoyo zao, na katika kukomboa watumwa, na wenye madeni, na katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na wasafiri. Huu ni waajibu ulio faridhiwa na Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:60].


Na inakusanya Kauli Ya Allah Ta3ala
{وَفِي سَبِيلِ اللّهِ}
{ na katika Njia ya Mwenyezi Mungu }
Msarifu Nyengi, Na miongoni mwake kutayarisha nguvu na vifa va jeshi katika njia ya Allah, Na miongoni mwake ni mishahara ya wanao fanya kazi ju yake katika sekta tafauti ndani yake, Na inajengwa miundo mbinu zote za daula la kislamu, Na inaongezwa katika nyumba ya mali ya waislamu sehemu ya tanu katika ngawira, Na inaongezwa katika nyumba ya mali ya waislamu jizya na kiwango chake ni sawa na kiwango cha zaka ilio faradhishwa sawa sawa, ispokua inaitwa kwa mwislamu zaka kwajili Allah Atamtakasa nazo na kumsafisha nazo na ama asie mwislamu inaitwa jizya, Na hivo hivo itaongezwa katika nyumba ya mali ya waislamu uchumi unaingia kwenye ma takaza za da


ula la kislamu kufnyia biashara na kuzizalisha na wanafanya kazi wanao fanya ndani yake kwa kuiendeleza na kuinua uchumi ya taifa, Ama mwadhani wanao fanya ndani yake ni wale wanao zipokua? Hapana; Bali wanaofanya ndani yake ni wote wale ambao wanao mishahara ndani yake na wakabeba amana na jukumu la umma ju ya shingo yao na anakua nyuma yao mtawala haogopi kwa Allah lawama ya mwenye kulaumu basi hawi na usahali na nyumba ya mali, ikiwa atagundua kuna uporaji na wizi anawadhibu wale ambao hawastahili kubeba amana na awafute kazi kutoka kwa cheo chao hata kama ni ndugu yake mtoto wa babake na mamake, Na hivo itaishi inchi haina ufisadi na itakuza na kuinuka uchumi wa inchi na itakua mzuri maisha ya waja na itamalizika ufisadi wote na wataishi watu katika usalama na amani, Basi sababu ya ufisadi ni ufukara lakini itaisha pindi ikismamishwa mipaka ya Allah katika Ardhi ili kuwazuwia wafisadi.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
________



اقتباس المشاركة 6207 من موضوع بيان ركن الزكاة حصرياً من القرآن العظيم لمن كان يؤمن بالله واليوم الآخر ..

- 4 -
الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
20 - 08 - 1431 هـ
01 - 08 - 2010 مـ
04:23 صباحاً

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصليّة للبيان ]
https://albushra-islamia.com/showthread.php?p=6193
________________


البيان الحقّ في زكاة الفطر ..

اقتباس المشاركة : قوم يحبهم ويحبونه
بسم الله الرحمن الرحيم وسلامٌ على المرسلين والحمد لله رب العالمين..
بمناسبة دخول شهر رمضان، ماهي زكاة الفطر (زكاة رمضان)؟
وهل يجوز دفع الزكاة للمساهمة في شراء قناة المنبر للمهدي المنتظر مثلاً؟
أم مثل هذه الأشياء تكون من التبرعات فوق الفرض الجبري وليس من أصل الفرض الجبري للزكاة؟
وسلاماً على المرسلين والحمد لله رب العالمين
انتهى الاقتباس من قوم يحبهم ويحبونه

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخي السائل الكريم، إنّي لا أجدُ زكاةً مفروضةً اسمها زكاة الفطر ولا زكاة رمضان في محكم القرآن، وإنّما كانت مجرد حيلة من الحكام وعلمائهم ليزيد دخل بيت المال ليس إلا؛ بل نستطيع أن نُفصِّل ركن الزكاة المفروضة تفصيلاً من كتاب الله القرآن العظيم، فكيف يجعل الله زكاةً أخرى؟ بل ركن الزكاة واحدٌ في الإسلام، ونحن نتكلم عن الزكاة المفروضة ركناً من أركان الإسلام وذات أهميةٍ كبرى في الدين ودولة المسلمين.

وأما سؤالك الذي تقول فيه:
اقتباس المشاركة :
وهل يجوز دفع الزكاة للمساهمة في شراء مثلا قناة المنبر للمهدى المنتظر؟ أم مثل هذه الاشياء تكون من التبرعات فوق الفرض الجبرى وليس من أصل الفرض الجبرى للزكاة؟
انتهى الاقتباس
ومن ثمّ نردّ عليك بالحقّ إنّ الزكاة لم يجعلها الله حصرياً للفقراء والمساكين، وإنما جعل الله لهم نصيباً فيها من غير مقابلٍ، ونصيبهم هو فقط ما يكفي حاجتهم ويسدّ جوعهم، ولا نصيب للأغنياء فيها إلا بمقابلٍ أو لحكمةٍ يراها الحاكم، ولكن العاملين عليها هو بمقابل عملهم، وكذلك كان محمدٌ رسول الله - صلى الله عليه وآله وسلم - ينفق على جيشه من الزكاة. وقال الله تعالى: {هُمُ الَّذِينَ يَقُولُونَ لَا تُنفِقُوا عَلَىٰ مَنْ عِندَ رَسُولِ اللَّـهِ حَتَّىٰ يَنفَضُّوا ۗ وَلِلَّـهِ خَزَائِنُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَلَـٰكِنَّ الْمُنَافِقِينَ لَا يَفْقَهُونَ ﴿٧﴾} صدق الله العظيم [المنافقون].

بل الزكاة مصرفها الأكبر هو في مصرفها السابع في سبيل الله تصديقاً لقول الله تعالى: {
إِنَّمَا الصَّدَقَاتُ لِلْفُقَرَاءِ وَالْمَسَاكِينِ وَالْعَامِلِينَ عَلَيْهَا وَالْمُؤَلَّفَةِ قُلُوبُهُمْ وَفِي الرِّقَابِ وَالْغَارِمِينَ وَفِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَابْنِ السَّبِيلِ ۖ فَرِيضَةً مِّنَ اللَّـهِ ۗ وَاللَّـهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ ﴿٦٠} صدق الله العظيم [التوبة].

ويشمل قول الله تعالى:
{وَفِي سَبِيلِ اللَّـهِ} مصارف كثيرة، ومنها إعداد القوة والعتاد للجيش في سبيل الله، ومنها رواتب العاملين عليها على مختلف مجالاتهم، وتُبنى عليها جميع مؤسسات الدولة الإسلاميّة، وتُضاف إلى بيت مال المسلمين خُمس الغنيمة، وتضاف إلى بيت مال المسلمين الجِزْية ومثل مقدارها كمثل مقدار الزكاة المفروضة بالضبط، وإنما تُسمّى من المسلم زكاةً لأنّ الله سوف يُزكيه بها ويطهره بها وأما غير المسلم فتسمى جزية، وكذلك تضاف إلى بيت مال المسلمين دخل مشاريع الدولة الإسلاميّة الاستثماريّة ويعمل العاملون عليها على تحسين اقتصاد البلاد. أم تظنّون العاملين عليها إنّما هم فقط الذين يتسلمونها؟ كلا؛ بل العاملون عليها جميع الذين لهم رواتب منها وتحمّلوا الأمانة ومسؤولية الأمّة على عاتقهم ويكون من ورائهم حاكمٌ لا يخاف في الله لومة لائمٍ فلا يساوم في بيت المال إن اكتشف السلب والنهب يعاقب الذين هم ليسوا أهلاً للأمانة ويقيلهم من مناصبهم حتى ولو كان أخاه ابن أمّه وأبيه، وهكذا تعيش البلاد خالية من الفساد وينمو ويرقى اقتصاد البلاد وتتحسن معيشة العباد وينتهي الفساد برمّته ويعيش الناس بسلام آمنين، فسبب الفساد هو الفقر ولكنه ينتهي مع إقامة حدود الله في الأرض لمنع المفسدين.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين ..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_______________


اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..