الموضوع: Bayana Imetumwa Kutoka Kwa Simu Ya Al’Imam Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Simu Ya Anssari Alaa Adin Nur Adin Kwenye Tarehe Yake Na Wakati Wake Chini Ya Bayana Na Ba

النتائج 1 إلى 1 من 1
  1. Post Bayana Imetumwa Kutoka Kwa Simu Ya Al’Imam Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Simu Ya Anssari Alaa Adin Nur Adin Kwenye Tarehe Yake Na Wakati Wake Chini Ya Bayana Na Ba



    Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
    الإمام ناصر محمد اليماني
    14 - ذو القعدة - 1439 هـ
    27 - 07 - 2018 مـ
    04:41 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    https://albushra-islamia.com/showthread.php?t=35452
    ــــــــــــــــــــــــ

    Hi Bayana Imetumwa Kutoka Kwa Simu Ya Al’Imam Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Simu Ya Anssari Alaa Adin Nur Adin Kwenye Tarehe Yake Na Wakati Wake Chini Ya Bayana Na Bayana Inaanza Kama Ifwatavo:

    Salamu Allah Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu Wapendwa Wangu Ma Anssar Walio Tangulia Walio Bora Kutoka Pembe Tafauti Miongoni Wao Wale Wenye Ma Darbini Na Ma Vifa va kuleta karibu na kufwatilia kwa kupeleleza, Nawapa Ruhusa Wao Kufatilia Vijinywele Va Kutimia Mwezi Timamu Kua Kamili Al’Badr Ful moon ya mwezi dhi Alqaida ya mwaka Wenu hu 1439 jioni ya Siku Ya Alkhamisi Usiku Wa Juma Alfajiri wa Usiku Hu Ulio Barikiwa Kwa Sharti Isitimu kupiga picha mwezi mpaka ispokua ikifikilia Kwake Asili mia Kwa Mia Kwa Saa Na Dakika Na Nukta ili isibaki Kwa Wanazuoni wa Falaki Katila ulimwengu Hoja Yoyote, Basi ndio watajua kwamba na vile Mwezi kua kamili timamu wa mwezi wa dhi alqaida imefikilia asili mia Kwa Mia alfajiri wa usiku hu wa Juma Basi hi manake ni kwamba Jua Limefikilia Mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf eclipse ya ki jua ikakutana nae kwenye Ma7haq nayo ni mwandamo, Na Kwamba Hakika Laana Ya Allah Ju ya wanaosema Urongo Awu Ju Ya Wale WalioKadhibisha Aya Za Mola Mlezi wao baada ilipo bainika kwao kwamba Kweli Haki Limefikilia jua mwezi ikamfwata ikakutana Nae Jua Nayo ni Mwandamo katika ya kusuf eclipse ya ki jua kusini mwa Australia ambao inawafikiana Na Asbuhi Ya Usiku Wa Juma kwa wakati wa Maka Al’Mukarama, Yani Kwamba Hivo hivo jua Limefikila mwezi kuingilia Mwanzo wa dhi alqaida ya Mwaka wenu hu 1439 ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf eclipse ndio ikakutana nae nayo ni mwandamo.


    Na kuhusu vijinywele Basi wao wanajua ni vjisa pekeyake wala sio Nyumba, Na kulingana na ilimu yao kwamba usiku wa mwezi kua kamili ni baada kuzama jua la siku ya juma usiku wa jumamosi na kwamba vijinywele kutimia Mwezi kua kamili Asila Mia kwa Mia itakamilika saa kuminamoja na dakika shirini na Mbili katikati ya jioni ya siku ya juma usiku wa jumamosi katika wakati wa khusuf eclipse ya ki mwezi kulingana na ilimu yao, Na ile ni muhimu kwetu kwamba kufwatilia Mwezi wa usiku ya Juma kisharia kutoka kuzame jua la siku ya Alkhamis usiku wa juma mpaka alfajiri ya juma kwa wakati wa Maka Al’Mukarama, Basi huo Wakati wa ulimwengu; Kukutana jua na mwezi kwenye kushikana ki kituo, Na kulingana na ilimu ya wanazuoni wa falaki ya kifiziki katika waislamu na makafiri kwamba kushikana ki kituo kwa jua na mwezi ni ma7haq Ya Mwezi wa zamani mpaka ikikata kipande Cha jua kutoka upande wa kipande chake cha magharibi mpaka iwachane na kipande chake kutoka upande wake Wa mashariki inachukua wakati muda kutoka masa matano mpaka masa ma sita alafu ndio inaanza kitendo Cha kuzaliwa mwandamo baada kuwachana kwake mashariki mwa Jua.


    Na kwavile Binadamu wameingia Katika Zama Za Masharti Ya Saa Kuu Ndio imezaliwa Mwandamo kabla Ya Kusuf Eclipse ndio ikakutana na jua Nayo Ni Mwandamo basi hatimai usiku wa asbuhi Ya Juma Ni mwanzo wa kuingia Dhi Al’Qaida.


    Kwahivo mwanzo wa Dhi Al’Qaida ilikua ni usiku wa juma baada kuzama jua la alkhamis, Lakini Mwandamo ulikua katika hali ya kufikiliwa ndio ikakutana nae jua nae ni mwandamo katika kushikana kituoni alfajiri ya juma Yani kwenye wakati wa Swala Ya Alfajiri mpaka wakati wa kivuli kila tukilekea magharibi kutoka kwa kituo cha Ardhi Maka Al’Mukarama.

    Basi ile muhimu kwetu sasa hivi ni kupiga picha mwezi kwa usiku hu ulobarikiwa ku’anzia wakati wa kukamilika kipande cha mwezi, Basi hawatoweza wanazuoni wa falaki kwamba wapate kwenye picha vijinywele pamoja ya kwamba wao wanajua kua vijinywele haiji ila kwenye usiku wa nusu katika mwezi na wanajua kwamba ispokua ni vijisa kadha ndio itafika mwezi Albadr ya kwanza Asili mia kwa mia wakati wa ule usiku mpaka alfajiri kwa hisabu ya kuingia siku ya mwezi ya kwanza, Lakini Wanajaribu kuzuwia watu kwa kutoamini kwa Alama Ya Kufikilia basi wanawapa Fatwa Kwa madarbini basi wanasema:” Hivi hamuoni kwa Darbini kwamba Mwezi bado umepungua na haijafika usiku wa Nusu?”, Hata kama wanazuoni wa falaki wanajua kwa ilimu ya yakini kwamba mwezi ulio kamili itafika Asili mia kwa mia wakati wa usiku hu usiku wa juma ulio barikiwa kwa ulimwengu, Na hivo hivo wale ambao wanaficha Ushuhuda Wa ki’ilimu watakanusha ispokua muwabomowe kwa picha ya mwezi Albadr mwezi kamili mia kwa mia wakati wa usiku hu wa juma kutoka kuchomoza alfajiri yake na kivuli cha asbuhi yake kila tukilekea kwa mataifa magharibi mwa Maka kwa ulimwengu.


    Na kila kifikilio ina dalili ya ki’ilimu kulingana na mazazi ya miandamo ya mwezi ya kufikiliwa kama vile itakuja bayana ya kuifafanua ufafanuzi baada khusuf Eclipse ya ki mwezi ambao inao ngojewa kwa ma hisabu yao kulingana na harakati ya ardhi, Basi kila tokeo ina maelezo yake, Na Mumeingia katika zama za Kufikiliwa pakubwa na iliofichika iko Kuu zaidi! Na tutaibainisha kwa idhini ya Allah katika wakati karibuni.

    Na sababu ya harakati ya kuzuwia kuhusu kuamini Alama za kufikiliwa kutoka kwa baadhi ya wanazuoni wa falaki wale ambao wanawa’wazisha watu kwamba ile vijinywele ambao yaonekana kwa darbini ni vituo, Urongo Na kuzawiri, Na wao wanajua kwamba vijinywele hawaioni ila katika usiku wa nusu kwakua hio ni masa kadha kwa kiwango ya mwezi kua Albadr mwezi kukamilika kua kamili kwa saa na dakika ndio imalizike katika usiku huo huo ifike timamu Albadr mwezi kamili sawa sawa timamu kwa dakika na nukta kama itakavo kukamilika katika usiku hu wa juma pale pale kwenye nukta ya wakati wa kusuf Eclipse ya ki jua ilio pita, Na wao wajua kwamba wakati wa kukutana jua kwa mwezi katika kushikana kituoni ni wakati wa ulimwengu na inaitwa al’ma7haq ki ilimu, Na al’ma7aq ni kurudi mwezi kama karara kongwe kabla vituo va miandamo ndio inakua mwangaza wa mwezi wa zamani sufuri ili iwe hivo ni kuvunja Baina ya mwezi wa zamani na mwezi mpya kwa kuanza mazazi baada kupita kwake mwezi ulio kiza jua mashariki mwa jua.

    Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani.

    أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    ________________


    27 Jul 2018
    04:41:15 Asbuhi
    ٢٧ يوليو ٢٠١٨
    ٠٤:٤١:١٥ صباحاً

    [ Kufwatilia kifurushi Cha kushiriki Asili Ya Bayana]
    [ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
    https://albushra-islamia.com/showthread.php?t=35451


    اقتباس المشاركة 291720 من موضوع هذا بيانٌ مُرسلٌ من هاتف الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني ..


    الإمام ناصر محمد اليماني
    14 - ذو القعدة - 1439 هـ
    27 - 07 - 2018 مـ
    04:41 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    ــــــــــــــــــــــــ



    هذا بيانٌ مُرسلٌ من هاتف الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني إلى هاتف الأنصاري علاء الدين نورالدين في تاريخه ووقته أسفل البيان والبيان يبدأ كما يلي:


    سلام الله عليكم ورحمة الله وبركاته أحبتي الأنصار السابقين الأخيار في مختلف الأقطار من أصحاب التلسكوبات والمناظير والمراقب، نسمح لكم متابعة اكتمال شعيرات بدر التمام لقمر بدر التمام لشهر ذي القعدة لعامكم هذا ١٤٣٩ مساء يوم الخميس ليلة الجمعة فجر هذه الليلة المباركة بشرط أن لا يتمّ التقاط صورة للقمر إلا عند بلوغه مائة بالمائة بالساعة والدقيقة والثانية حتى لا تبقى لعلماء الفلك في العالمين أي حجّة، فيعلمون أنه وبما أن بدر التمام لشهر ذي القعدة بلغ مائة بالمائة فجر هذه الليلة الجمعة فهذا يعني أنّ الشمس أدركت القمر فولد الهلال من قبل الكسوف الشمسيّ فاجتمعت به في المحاق وقد هو هلال، وأن لعنة الله على الكاذبين أو على الذين كذبوا بآيات ربهم بعد ما تبيّن لهم أنه حقاً أدركت الشمس القمر فتلاها فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال في الكسوف الشمسيّ جنوب أستراليا الذي يوافق صباح ليلة الجمعة بتوقيت مكة المكرمة، بمعنى أنه كذلك الشمس أدركت القمر في غرّة ذي القعدة لعامكم هذا ١٤٣٩ فولد الهلال من قبل الكسوف فاجتمعت به وقد هو هلال.

    وبالنسبة للشعيرات فهم يعلمون أنها سويعاتٌ وليست منزلةٌ، وحسب علمهم أن ليلة البدر هي بعد غروب شمس يوم الجمعة ليلة السبت وأنّ شعيرات بدر التمام مائة بالمائة سوف تكتمل الساعة إحدى عشر وإثنين وعشرين دقيقة منتصف مساء يوم الجمعة ليلة السبت في ميقات الخسوف القمريّ حسب علمهم، وما يهمنا أنّ متابعة قمر ليلة الجمعة شرعاً من غروب شمس يوم الخميس ليلة الجمعة حتى فجر الجمعة بتوقيت مكة المكرمة، فتلك لحظةٌ عالميّةٌ؛ اجتماع الشمس والقمر في الاقتران المركزي. وحسب علم علماء الفلك الفيزيائيين في المسلمين والكافرين أنّ الاقتران المركزي للشمس والقمر هو محاق الشهر القديم حتى إذا قطع قرص الشمس من طرف قرصها الغربي حتى ينفصل عن قرصها من طرفه الشرقيّ يستغرق من خمسٍ إلى ست ساعات فمن ثم يبدأ تَولّد الهلال بعد انفصاله شرقيّ الشمس.

    وبما أنّ البشر دخلوا في عصر أشراط الساعة الكبرى فولد الهلال من قبل الكسوف فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال فحتماً ليلة صباح يوم الجمعة غرّة ذي القعدة.

    إذا فغرّة ذي القعدة كانت ليلة الجمعة بعد غروب شمس الخميس، ولكنّ الهلال كان في حالة إدراكٍ فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال في الاقتران المركزيّ فجر الجمعة أي في ميقات صلاة الفجر إلى خلال الظلّ كلما اتجهنا غرباً من مركز الأرض مكة المكرمة.

    فما يهمنا الآن تصوير القمر لهذه الليلة المباركة بدْءاً من لحظة اكتمال قرص القمر، فلا يستطيع علماء الفلك أن يجدوا في الصورة شعيراتٍ برغم أنهم ليعلمون أنّ الشعيرات لا تأتي إلا في ليلة النصف من الشهر ويعلمون أنها مجرد عدّة ساعاتٍ فيصل القمر البدر الأول مائة بالمائة خلال تلك الليلة إلى الفجر بحساب غرّة الشهر الأولى، ولكنهم يحاولون صدّ الناس عن التصديق بآية الإدراك ويفتنوهم بالتلسكوبات فيقولون: "ألا ترون بالتلسكوب أنّ القمر لا يزال ناقصاً ولم يبلغ ليلة النصف؟"، حتى ولو كان علماء الفلك يعلمون علم اليقين أنّ القمر التام سوف يصل مائة بالمائة خلال هذه الليلة ليلة الجمعة المباركة في العالمين، فكذلك الذين يكتمون عندهم الشهادة العلميّة سينكرون إلا أن تلجموهم بصورة القمر البدر التام مائة بالمائة خلال هذه الليلة الجمعة منذ طلوع فجرها وظلّ صباحها كلما اتجهنا إلى دول غرب مكة في العالمين.

    وكلّ إدراكٍ له دلالات علميّة بحسب ولادة أهلّة أشهر الإدراك كما سوف يأتي بيانٌ نفصّله تفصيلاً من بعد الخسوف القمريّ المنتظَر بحسابهم بحساب حركة الأرض، فلكلّ حادثٍ حديثٌ، ودخلتم في عصر الإدراكات الكبرى وما خفي كان أعظم! وسوف نبيّنه بإذن الله في وقتٍ قريبٍ.

    وبسبب حركة الصدّ عن التصديق عن آية الإدراك من بعض علماء الفلك الذين يوهمون الناس بأنّ الشعيرات المرئيّة بالمنظار أنها منزلةٌ؛ كذباً وزوراً، وهم يعلمون أنّ الشعيرات لا يرونها إلا في ليلة النصف كونها بضع ساعاتٍ لدرجات القمر البدر بالساعة والدقيقة فتنقضي في نفس الليلة ليصل تمام البدر التام بالدقيقة والثانية كما سوف تكتمل هذه الليلة الجمعة في نفس نقطةِ ولحظةِ الكسوف الشمسيّ المنقضي، وهم يعلمون أن لحظة اجتماع الشمس بالقمر في الاقتران المركزيّ هي لحظةٌ عالميّةٌ وتسمّى بالمحاق علميّاً، والمحاق هو العرجون القديم من قبل منازل الأهلّة فيكون ضياء الشهر القديم صِفْر ليكون ذلك فاصلاً بين الشهر القديم والشهر الجديد ببدء التَّولُّد من بعد تجاوزه "القمر المظلم" الشمس شرقيّ الشمس.

    أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
    __________________

    ٢٧ يوليو ٢٠١٨
    ٠٤:٤١:١٥ صباحاً


    [ لقراءة البيان من الموسوعة ]
    https://albushra-islamia.com/showthread.php?t=35452


    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..


المواضيع المتشابهه
  1. Bayana Ya Siyasa Ya Ulinganizi Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Ma Ansar Wake Katika Ulimwengu ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 18-12-2019, 08:26 PM
  2. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 02-04-2019, 12:56 PM
  3. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 26-08-2018, 07:50 PM
  4. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 14-02-2018, 12:37 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 05-02-2018, 07:18 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •