{ Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema}

{ وَيُكَلِّمُ النّاس فِي الْمَهْدِ وَكَهْلاً وَمِنَ الصَّالِحِينَ }










الإمام ناصر محمد اليماني



05 - 11 - 2008 مـ

01:02 صباحا
ــــــــــــــــ







{ وَيُكَلِّمُ النّاس فِي الْمَهْدِ وَكَهْلاً وَمِنَ الصَّالِحِينَ }





{ Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema}






Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin, Na Ba'ada Hapo..
Dadangu Katika Dini Ya Allah, ishatangulia Awali Nikajibu Kuhusu Ba'adhi Ulio Yauliza Kama Mfano Kaulo Ya Allah Ta3ala:

{وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ ﴿٤٦﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].





Allah Ta3ala Asema:

{ { Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:46].




Na Neno La (Alkahl ) Ni ile Mwaka Wake Ambao Allah Ame'inua Roho Yake Kwake, Na Yeye Yuko Katika Umri Huo Na Hajabadilika Kitu, Na Wala Sio Ma'Ana Ya ( Kahl) Kwamba Ni Mzee Hapana Bali Alkahl Ni Umri Wa Kati Baina Umri Wa Barobaro Na Kabla Kuingia Umri Wa Uzee, Yani Kama Vile Wakati Ndevu Zake Zimechanganya Kidogo Na Nywele Nyeupe Kama Ndevu Za Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani Kiyasi Ya Kwamba Sijafikisha Arbaini Bado Lakini Nimikurubia Kufikisha Lakini Ndevu Zangu Zimechanganyika Na Nywele Nyeusi Na Nyeupe Ispokua Nimiona Kua Sababu Ya Uweupe Wa Nywele Ni ( Mafuta Mazuri ) Na Atakae Rushia Ndevu Zake Kwa ( Mafuta Mazuri ) Hatimai itaathiri hio juu yake Ndipo itakua Nyeupe Kabla Hazijawa zenyewe, Na ili Nisitoke Kwa Maudhui Kama Nilivo Kukubainishoe Dadangu Kwamba Alkahl Sio Mzee Bali Kufikia Mwanamume Katikati Wa Umri Wake Sawa Sawa Anaitwa Kahlan kwa Mana Sio Kijana Wala Mzee Kwajili Mzee Ni Katika Hali Ya Udhaifu Mkubwa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{اللَّهُ الَّذِي خَلَقَكُم مِّن ضَعْفٍ ثمّ جَعَلَ مِن بَعْدِ ضَعْفٍ قُوَّةً ثمّ جَعَلَ مِن بَعْدِ قُوَّةٍ ضَعْفاً وَشَيْبَةً}
صدق الله العظيم [الروم:54].
Allah Ta3ala Asema:{ Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na udhaifu kisha akajaalia nguvu baada ya unyonge, kisha akajaalia baada ya nguvu unyonge tena na ukongwe} Sadaqa Allah Al3adhim [Alrum:54].




Yani Alkahl Ni Umri Baina Ya Ujana Na Uzee, Na Atarudi Kwenye Umri Huo Huo Ambao Alikua Nayo Siku Alipo Inuwa Allah Kwake Roho Ya Al'Masi7h Isa Mwana Wa Maryam Juu Yake Na Mamake Azka Aswalat Wa Azka Altaslim Na Juu Ya Ma Hawariyin Wale Ambao Walisema Sisi Ni Anssar Allah Na Shuhudia Kwamba Sisi Ni Waislamu.



Na Ama Kuhusu Sayari Ya Sijil Basi Nayo Ni Sayari Ya Kijahanam Kama Alivo Nionesha Allah Kwenye Usingizi Mara nyingi, Lakini Mawe Yake Sampuli Ya Kio Inafanana Na Barafu Nayo Ni Sayari Ya Moto.








Na Ama Milango Ya Jahanam Basi Hawatoingia Umma Wa Muhammad Ambao Wanao Fwata Haki Na Walio Tubu Na Walio Staghfiru. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:



{وَمَا كَانَ اللّهُ مُعَذِّبَهُمْ وَهُمْ يَسْتَغْفِرُونَ (33)}
صدق الله العظيم [الأنفال].
{ Na Haikua Kwa Allah Atawaadhibu Na Wao Wanaleta Istighfar (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal]




Ndugu Yenu Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani.


أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
________________