Al’Imam Al’Mahdi Anabainisha Fatwa Ya Haki kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الزَّانِي لَا يَنكِحُ إِلَّا زَانِيَةً أَوْ مُشْرِ‌كَةً وَالزَّانِيَةُ لَا يَنكِحُهَا إِلَّا زَانٍ أَوْ مُشْرِ‌كٌ ۚ وَحُرِّ‌مَ ذَٰلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ ﴿٣﴾}
Allah Ta3ala Asema: { Mwanamume mzinifu hajami’iyani ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu hajami’iyani ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini}




Kushiriki asili imeandikwa kwa njia ya Abu Wahbi
Alsalam Alekom Warahmatu Allah Wa Barakatuhu
Vipi utatutafsiria sisi hi Aya:
{الزَّانِي لَا يَنكِحُ إِلَّا زَانِيَةً أَوْ مُشْرِ‌كَةً وَالزَّانِيَةُ لَا يَنكِحُهَا إِلَّا زَانٍ أَوْ مُشْرِ‌كٌ ۚ وَحُرِّ‌مَ ذَٰلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ ﴿٣﴾}صدق الله العظيم [النور]
Allah Ta3ala Assam: { Mwanamume mzinifu hajami’iyani ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu hajami’iyani ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini(3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
Na tunaona katika siku zetu hizi wengi katika wanao owa walio takasika na wao ni kinyume kabisa, Ama Kinyume chake?
Akubariki Allah ewe imamu wetu na usitusahau kwa Dua.


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin, Na Baada Ya Hapo.
Ndugu unae uliza, Hakika ya nikah inaokusudiwa kwenye hi Maudhui ni kujamiiana kwa zina bila kuowana kisharia na imeharamishwa hayo kwa waumini, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu yako Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.