Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - محرم - 1441 هـ
10 - 09 - 2019 مـ
10:41 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
( Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Vijiji )
ــــــــــــــــــــــــ


( إعلان ما كان هدف الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني من مأدبة السبعين في رمضان الماضي لعام 1440 )
Tangazo Ya Yale Malengo Ambao Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kuhusu Mwaliko Wa Chakula Kwenye Uwanja Wa Sabini Katika Ramadhani ilio Pita Ya Mwaka 1440

______________


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Swala Na Salam Ju Ya Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Mitume Wa Allah Kabla Yake Na Ju Ya Wale Walio Wafwata Na Wakaigiza Njia Yao Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini Siku Watakapo Simama Watu Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Ama Baada Ya Hapo..

Eee Maajabu Enyi ma3ashara ya ma hizbu katika warabu na raia wenu basi kiasi gani imefanana nyoyo za wengi kati yenu mukadhani kua lengo la Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani katika kutangaza mwaliko wa chakula kwenye uwanja wa sabini katika ramadhani ilio pita ya mwaka 1440; Wakadhani mahuthi na wengine mbali na mahuthi katika ma hizbu na wengi katika wakaguzi wa siyasa na wasokua wanasiyasa katika watu wa kawaida na waka'afikiana mwerevu na mjinga miongoni mwao kwa kukagua kutoa maoni moja kwa pamoja kua lengo la Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kutokana na mwaliko wa chakula katika uwanja wa sabini kwamba anataka kuwapindua mahuthi ndani ya mji wa Sanaa basi awapokonye utawala wa mji mku wa Yemen kutoka kwa mikono ya ma mahuthi!

Na kisha anarudisha Jibu Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kwa waulizaji wote na nasema: Nipeni ruhusa niwambie kila mwenye kufikiria kwa fikra hi kua wote ni wajinga kwa ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na hawajangalia bayana nyengi za Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na je mwajua ikisadiki dhana yenu hi basi mimi nitapata hasara ya wote ma ansar wangu wa kweli wenye akida katika ulimwengu walio zama katika ilimu ya bayana za Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na watasmamisha ju yangu hoja basi watasema kwa ulimi moja:" Ewe imamu wetu hivi hujatupa fatwa katika bayana nyengi za ulinganizi za kimahdi kua wewe hapana wala hutopigana na yoyote katika ma hizbu kwajili ya utawala kwa kua wewe huchukuwi dini ni njia ili ufikie kwa utawala wowote katika utawala wa waislamu ama utawala wa makafiri wale ambao hawajatupiga vita katika dini? Basi vipi utawageukia mahuthi iwe wawe wako kwa haki ama wako kwa batil! Lakini mapinduzi yako inakhalifu ulinganizi wako wakilimwengu, Kwakua wewe walingania itimu kupatikane amani baina ya waislamu na itimie amani kwa ulimwengu baina ya mataifa ya binadamu na kuishi kwa amani baina ya mwislamu na kafiri; Hakuna madhara kutokana na mwislamu ju ya kafiri wala hakuna madhara kwa kafiri ju ya mwislamu, Basi hakuna kulazimisha katika dini, Atakae amini na atakae akufuru, Na ju yetu ni kuwafikishia na ju ya Allah kuwafania hisabu, Na kwa mwelekeo hu ndio ilikua njia ya ulinganizi wako wa kiulimwengu kwa bayana ya haki ya Al'Quran ili kuinua dhulma ya binadamu ju ya ndugu yake binadamu na kutimu kupatikane amani ya ulimwengu baina ya mataifa ya watu na kuishi kwa salama baina ya mwislamu na kafiri, Basi haya ndio tumejifundisha kutokana na bayana zako muda wa miyaka kumi na tano mpaka sasa kua wewe hutopigana na yoyote katika ma nidhamu za ma hizbu ispomua atakae kupigana na wewe na akakataza ulinganizi wako, Na hatujasikia kabisa kwa mahuthu ama wanao jita wenye sharia kua wametangaza vita ju yako kwa mapambanu na wakataka kumwaga damu ya ma ansar wako katika yemen, Basi kwanini gafla wataka kuwapinduwa mahuthi ili uwapokonye kwao utawala wa mji mku sanaa kwa kumwaga damu?".

Basi hivi ndio watasema wote ma ansar wangu wenye agida katika ulimwengu, Basi wageuke kutonifwata lau ingesadiki dhana yenu kua njama ya mwaliko wa chakula katika uwanja wa sabini kwenye ramadhani ya mwaka 1440 nataka ndani yake kuwapindua mahuthi ili niwapokonye utawala kwao na kutokana na baki ya mahizbu wanao gombana kwajili ya utawala katika yemen, Basi lau ingisadiki dhana yenu dhana ya dhambi na batili na uzishi na maovu ju ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na najilinda kwa Allah kua iwe kweli dhana yenu basi sio mjinga mimi nifikiria hata kwa uzito wa kitone cha mchanga kwa yale mulio yafkiria nyinyi na ukaguzi wenu kutoka kwa mafsi zenu kuhusu mwaliko wa chakula katika uwanja wa sabini.

Hivi hamuoni kiasi gani mumemdhulumu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani enye ma3ashara ya Usalama wa kitaifa na kisiyasa na haikuthubutu yale mulio dai kitu? Na sikanushi kua nyinyi munitenda katika kufanya uchunguzi wa kitaifa na kisiyasa kwa hishima na Allah Shahidi na nyinyi kwa hayo ni katika mashahidi, Lakini kosa lenu kunikamata mimi na wenzangu katika brabara ya thalathini baada kutoka kwetu katika soko la ngombe basi tukagutuka kuzungukwa na magari ya kivita mengi mno yamekuja kutoka kila upande na mimi nimesimama mimi na wenzangu wanao nifwata tuko katika magari matatu aina za saluni tuko katika amani, Na lakini pamoja ya mshangao na uwingi wa magari yenu ya kivita na wanajeshi wenu ambao mumetuzunguka kwenye barabara ya thalathini na je mumempata Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani ni muoga haraka amejisalimu, Ama Kweli Ni Simba! Na Sikuwakabidhi silaha yangu ya kibinafsi inao rusha mabomu inabeba bomu sita kila bomu inabomoa gari zima la kivita na waliomo ndani yake, Na wala hatukurusha moto ju yenu kwakua nyinyi hamukuturushia moto ju yetu, Basi sisi hatupigani ispokua kwa yule anae tupiga vita.
Na ikaendelea hali kua ngumu muda inafikia masa ma wili, Kisha ikapatikana kuelewana kwa sharti kua nitaenda na nyinyi kwa usalama wa kitaifa na kisiyasa na nimebeba silaha yangu na niendeshe moja katika ma saluni zangu na mbili wataendesha miongoni mwa wenzangu wanao nifwata, Na Alhamdulillah kwa Salama kwangu na kwenu, Lakini nasaha yangu kwenu kwa ya yatakao tokezea mbeleni basi sio kila mara utasalimika mtungi basi mufanye hisabu vizuri ikiwa kweli nyinyi ni ma ansar wa Allah hamutaki kiburi katika ardhi wala ufisadi, Na Mwisho ni ya wacha Mungu, Na ma ansar wangu ni wa kiakida kama ma ansar wa shahid asayid husen badr adin na je mwaona imeisha harakati yake bada kuliwa kwake ama imendelea njia yake pamoja ilikua mwanzo mwelekeo wake ni wakiqurani lakini kwa sababu ya vita ju yake ikagauka ikawa ni ya mapambano? Na mujuwe kua Allah Yuko Pamoja na wacha Mungu, Na Musifanye uwaduwi hakika Allah Hapendi wanao fanya uwaduwi.

Ama kuhusu hikma ambao nilikua nimeinuwia katika mwaliko wa chakula kwenye uwanja wa sabini kwenye ramadhani ilio pita ya mwaka 1440 nayo ni kukysanya wanazuoni ili nithibitishe kwao Mipango ya Uzayuni wa ulimwengu Kuchukua mashariki ya kati na kuibadilisha kwa mashariki ya kati ya kizayuni mpya na kuchukua mataifa ya kiarabu ili ipatikane kutimu taifa la uzayuni kuu, Na haihat haihat! Na je nawalea ma anssar wangu katika kila taifa malezi ya kiroho kutoka miyaka kumi na tano ispokua kua tayari kuzuwia harakati ya uzayuni ya moja kwa moja ili kuchukwa mataifa ya kiarabu na ya kisilamu? Basi hapo ndio litakuja jukumu la Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na ma ansar wangu bado wanazali (Mfupa wa jaber hauvunjiki) kwa idhini ya Allah Al'Wahid Al'Qahar.

Na imekurubia tangazo la uzayuni ili kutekeleza mipango yao kwa wenyewe kwa njia ya moja kwa moja baada kuwadhuufisha warabu kwa vita ya baadhi yao ju ya baadhi, Na imebainika mambo kwa viongozi wa kiarabu kwa dhahiri kua wao ndio wamelengwa wao na mataifa yao na ardhi yao, Basi kiasi gani nimewahadharisha kabla kwa miyaka. Ala Wallah Ambae Hapana Mola ispokua Yeye hakika ya Al'Imam Al'Mahdi si hatari kwa usalama ya mataifa yote ya kislamu na ya kiarabu na ya kiajemi; Bali ni Ngao ya kudumu na Uzio ni waaminifu ili kuzuwia harakati inaongojewa ya moja kwa moja kutokana na jeshi la kizayuni la kilimwengu, Hakika wao wanapanga mpango na sisi tunawafanyia wao mipango na tunajua kutoka kwa Allah yale hawayajuwi, Na wala haitakiwi kwa Allah kua Ateuwe Khalifa Wake muoga Allah ndie Mwenye kutaka msaada kwake, Na lekeza amri yangu kwa Allah, Hakika Allah Ni Mwenye Kuona Waja Wake, Neema Al'Maula Wa Neema Al'Nasir.

Na hakika nitafanya tuvoti yangu hi badala ya uwanja wa sabini, Na imetangulia fatwa yangu kabla basi haitotutosha na wanazuoni wa umma ispokua hapo..

Na namuru wasmamizi kwakufungua sehemu katika uso wa tuvoti yetu ya kila mufti wa taifa za kislamu na za kiarabu na za kiejemi, Basi iwe sehemu kwa jina la mufti na jina la taifa lake na picha ya mufti, Na kuhusu neno la siri ya kufungua basi itatimu kuwatumia wenyewe kupitia inwani zao za kielktronia na wao jukumu lao kubadilisha neno la siri ya inwani yao na kuhusu wanazuoni wadogo basi tosha kwao, Na wawache mazungumzo baina yangu na baina ya mufti wa miji wa kila taifa, Na kuhusu ma ansar basi nakataza kuingilia kwao katika sehemu ya mazungumzo ilio hususishwa ya kila mufti wa miji na wawawache kumwachia Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na wataenda kujua kwamba Mwalimu wangu ni Allah. Na baada kutimia kufungua sehemu za mamufti wa miji ya kila taifa ya kislamu la kiarabu ama la kiejemi basi itatolewa bayana moja kwa pamoja itatimu kuteremshwa kwa kila sehemu ya ma mufti wa taifa la kislamu la kiarabu na kiejemi, Na kwa hali zote inakatazwa kusambaza bayana yoyote mpaka kuirudia kuhakikisha iko sawa kiemlai kutokana na wahusika.

Na hivo hivo nawamuru ma anssar kusameheana basi wasamehe baadhi yao kwa baadhi hakika wote wako na haki na yalio pita yashakufa, Basi musameheaneni badhi yenu ju ya badhi, Na zuweni hasira yenu Atawasamehe Allah ju yenu na Atawazidisha kwa Mapenzi yake na ukuruba kwake na Ataunganisha baina ya nyoyo zenu na Allah Anapenda Wema, Na salam ju ya Mitume na Al'Hamdulillah Rabilalamin.

Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ..
________________


اقتباس المشاركة 316414 من موضوع إعلان ما كان هدف الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني من مأدبة السبعين في رمضان الماضي لعام 1440 ..

الإمام ناصر محمد اليماني
11 - محرم - 1441 هـ
10 - 09 - 2019 مـ
10:41 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
https://albushra-islamia.com/showthread.php?p=316405

ــــــــــــــــــــــــ


إعلان ما كان هدف الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني من مأدبة السبعين في رمضان الماضي لعام 1440 ..

بسم الله الرحمن الرحيم والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمرسلين محمد رسول الله وكافة رسل الله من قبله وعلى من تبعهم واقتدى بنهجهم في كلّ زمانٍ ومكانٍ إلى يوم الدين يوم يقوم الناس لربّ العالمين، أما بعد..

يا للعجب يا معشر الأحزاب في العرب وشعوبكم فلكم تشابهت قلوب كثيرٍ منكم فظننتم أنّ هدف الإمام ناصر محمد اليماني من إعلان مأدبة السبعين في رمضان المنقضي لعام 1440؛ فظنّ الحوثيّون وغير الحوثيين من الأحزاب وكثيرٌ من المحللين السياسيين وغير السياسيين من الناس العاديين واتّفق الذكي والغبي منهم على تحليلٍ واحدٍ موحّدٍ أنّ هدف الإمام ناصر محمد اليماني من مأدبة السبعين أنه يريد انقلاباً على الحوثيين داخل صنعاء فينزع سلطة عاصمة اليمن من أيدي الحوثيين!

فمن ثم يرد الإمام ناصر محمد اليماني على كافة السائلين وأقول: اسمحوا لي بأن أقول لكل من فكّر بهذا الفكر أنهم جميعاً أغبياء عن دعوة الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ولم يطّلعوا على كثيرٍ من بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني، فهل تعلمون لو صدق ظنّكم هذا بأني سوف أخسر كافة أنصاري الحقيقيين العقائديين في العالمين الراسخين في علم بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وسوف يقيمون علي الحجّة فيقولون بلسانٍ واحدٍ: "يا إمامنا ألم تفتِنا في معظم بيانات الدعوة المهديّة أنك لا ولن تقاتل أي حزبٍ على السلطة كونك لا تتخذ الدين وسيلة للوصول إلى أي سلطةٍ من سلطات المسلمين أو الكافرين الذين لم يقاتلونا في الدين؟ فكيف تنقلب على الحوثيين بغض النظر كانوا على الحقّ أم على الباطل! ولكن انقلابك مخالف لدعوتك العالميّة، كونك تدعو إلى تحقيق السلام بين المسلمين وتحقيق السلام العالمي بين شعوب البشر والتعايش السلمي بين المسلم والكافر؛ لا ضرر من مسلمٍ على كافرٍ ولا ضرار من كافرٍ على مسلمٍ، فلا إكراه في الدين، فمن شاء فليؤمن ومن شاء فليكفر، وإنّ علينا بلاغهم وعلى الله حسابهم، وعلى هذا النهج كانت مسيرة دعوتك العالمية بالبيان الحقّ للقرآن لرفع ظلم الإنسان عن أخيه الإنسان وتحقيق السلام العالمي بين شعوب البشر والتعايش السلمي بين المسلم والكافر، فهذا ما تعلمناه من بياناتك طيلة خمسة عشر سنة لحدّ الآن أنك لن تقاتل أحداً من أنظمة الأحزاب إلا من أراد قتالك ومنع دعوتك، وما سمعنا قط أنّ الحوثيين أو من يسمّون أنفسهم بالشرعيين أعلنوا الحرب عليك قتاليّاً وأرادوا سفك دم أنصارك في اليمن، فلماذا فجأة تريد الانقلاب على الحوثيين لتنزع منهم سلطة عاصمة اليمن صنعاء بسفك الدماء؟".

فهذا ما سوف يقولونه كافة أنصاري العقائديين في العالمين، فينقلبون عن اتّباعي لو صدق ظنّكم أن مخطط مأدبة السبعين في رمضان لعام 1440 أريد به انقلاباً على الحوثيين لنزع السلطة منهم ومن بقية الأحزاب المتشاكسين على السلطة في اليمن، فلو صدق ظنّكم ظنّ الإثم والباطل والزور والبهتان على الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأعوذ بالله أن يكون صادقاً ظنُّكم فلست غبيّاً حتى أفكر مثقال ذرةٍ بما فكرتم به أنتم وتحليلكم من عند أنفسكم في شأن مأدبة السبعين.

ألا ترون لكم ظلمتم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني يا معشر الأمن القومي والسياسي ولم يثبت مما زعمتم شيئاً؟ ولا أنكر أنكم عاملتموني في التحقيق بالأمن السياسي بكل احترامٍ والله شاهدٌ وأنتم على ذلك من الشاهدين، ولكن خطأكم محاصرتي ورفاقي في جولة الثلاثين بعد خروجنا من سوق الثيران وتفاجأنا بطقومٍ كثيرةٍ جاءت من مختلف الجوانب وأنا واقفٌ أنا ورفاقي في ثلاثة صوالين آمنين، ولكن برغم المفاجأة وكثرة طقومكم وجنودكم الذين حاصروني في جولة الثلاثين فهل وجدتم الإمام ناصر محمد اليماني جباناً سُرعان ما استسلم، أم حقاً قسورة؟ ولم أسلّمكم سلاحي الشخصيّ قاذف القنابل سعته ست قنابل كلّ قنبلةٍ تدّمر طقماً بمن فيه، ولم نطلق النار عليكم كونكم لم تطلقوا النار علينا، فنحن لا نقاتل إلا من قاتلنا. واستمر الوضع متأزِّماً بما يقارب الساعتين، ومن ثم تمّ التفاهم بشرط أن أذهب معكم إلى الأمن السياسي بسلاحي وأقود أحد صواليني واثنين يقودّهن اثنان من رفاقي، والحمد لله على السلامة لي ولكم، ولكن نصيحتي لكم من المقبلات فليس كلّ مرةٍ تسلم الجَرّة فاحسبوها صح إن كنتم حقّاً أنصار الله لا تريدون علواً في الأرض ولا فساداً، والعاقبة للمتقين. وأنصاري عقائديّون كما أنصار الشهيد السيد حسين بدر الدين فهل ترونها انتهت حركته بمقتله أم استمرت مسيرته برغم أن دعوته بادئ الأمر قرآنيّة وبسبب الحرب عليه تحولت إلى ميدانيّة؟ واعلموا أنّ الله مع المتقين، ولا تعتدوا إنّ الله لا يحب المعتدين.

وأما الحكمة التي كنت أنويها في مأدبة السبعين في رمضان المنقضي لعام 1440 هي لجمع العلماء لنُثبت لهم مخطط الصهيونيّة العالميّة لاحتلال الشرق الأوسط وتبديله بشرقٍ أوسطيٍّ صهيونيّ جديدٍ واحتلال الشعوب العربيّة لتحقيق دولة الصهاينة الكبرى، وهيهات هيهات! فهل أُربّي أنصاري في كلّ دولةٍ تربيةً روحيةً منذ خمسة عشر عاماً إلا استعداداً لصدِّ الحركة الصهيونيّة المباشرة لاحتلال الدول العربيّة والإسلاميّة؟ فهنا سوف يأتي دور الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأنصاري لا يزالون (عظم جابر ما ينكسر) بإذن الله الواحد القهار.

واقترب إعلان الصهاينة لتنفيذ مخططهم بأنفسهم بشكلٍ مباشرٍ من بعد إضعاف العرب بحرب بعضهم بعضاً، وتبيّنت الأمور لحكام العرب على الظاهر أنهم حقاً مستهدفون هم وشعوبهم وأرضهم، فلكم حذرناهم من قبل بسنين. ألا والله الذي لا إله غيره إنّ الإمام ناصر محمد اليماني لا يشكل خطراً على أمن كافة الدول الإسلاميّة العربيّة والأعجميّة؛ بل الدرع المتين والسور الأمين لصدّ الحركة المنتظرة المباشرة من جنود الصهيونيّة العالميّة، إنهم يكيدون كيداً ونكيد لهم كيداً ونعلم من الله ما لا يعلمون. ولا ينبغي لله أن يصطفي له خليفةً جباناً والله المستعان وأفوض أمري إلى الله، إن الله بصيرٌ بالعباد، نعم المولى ونعم النصير.

ولسوف نجعل موقعي هذا بدلاً عن ميدان السبعين، وسبقت فتوانا من قبل فلن يسعنا وعلماء الأمّة سواه..

ونأمر الإدارة بفتح أقسامٍ في واجهة موقعنا لكلّ مفتي كافة الدول الإسلاميّة العربيّة والأعجميّة، فليكن القسم باسم مفتي الدولة واسم الدولة وصورة المفتي، وبالنسبة لكلمات السرّ فيتمّ إرسالها إليهم عبر بريدهم الإلكترونيّ وهم بدورهم يقومون بتغيير كلمات السر لمعرفاتهم.
وبالنسبة للعلماء الصغار فيكفي لهم، ويذرون الحوار بيني وبين مفتي الديار في كل دولة، وبالنسبة للأنصار فنمنع تدخلهم في أقسام الحوارات المخصصة لمفتي كل دولةٍ ويذرونهم للإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ولسوف يعلمون أنّ معلمي الله. ومن بعد استكمال إعدادات أقسام مفتي كل دولةٍ إسلاميةٍ عربيةٍ أو أعجميةٍ فسوف يصدر بيانٌ واحدٌ موحدٌ يتمّ تنزيله في قسم مفتي كل دولةٍ إسلاميةٍ عربيّةٍ أو أعجميةٍ، وعلى كل حال يمنع نشر أي بيانٍ حتى يتمّ مراجعته إملائيّاً من قبل المراجعين المكلفين.

وكذلك نأمر الأنصار بالتسامح فيعفون عن بعضهم بعضاً فكلهم محقّون وما فات مات، فتعافوا عن بعضكم بعضاً، واكظموا غيظكم يعفو الله عنكم ويزيدكم بحبه وقربه ويؤلف بين قلوبكم والله يحب المحسنين، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين.

خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ..
________________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..