- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 06 - 1430 هـ
22 - 06 - 2009 مـ
09:11 مساءً
https://albushra-islamia.com/showthread.php?t=1497

ـــــــــــــــــــ

مســــــــــائـل في الميـــــراث ..
Maswali Katika Kurithi ..

Bismillh Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume,
Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alimi ..

Ndugu Mkarimu Abdulmalik Alaoulaki Mhishimiwa, Al'Salam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu, Na ile tunataraji Kutokana na utu wako mkarimu kuifafanua suali lako mpaka itakapo kukujia jibu kwa haki kwa idhini Ya Allah na umeifatisha nayo utawala wa ilimu kwa haki na hoja inao zima mijadala, Kwahivo nataraji ufafanuwe kuhusu ma dada wa wili na kufafanua suali ambalo muhimu kwetu, Na yatakiwa iwe suali limesahilishwa na inafahamika kwetu na kwa wote ili wafaidike nalo wote Ndugu Mkarimu, Na Shukran ..

Ndugu Yako Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــ


- 2 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - 06 - 1430 هـ
23 - 06 - 2009 مـ
09:59 مساءً
ــــــــــــــــــ

فتوى الإمام المهدي للسائل عبد الكريم العولقي..
Fatwa Ya Al'Imam Al'Mahdi Kwa Mulizaji Abdul'Karim Al'aoulaki..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Wa Alekom Al'Salam Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu Nyote Na Nawashukuru Nyinyi Nyote Na Kwa Mapokezi Mazuri Na Hivo hivo Nawashukuru Kua Na Fadhila Kwenu Kwa Haraka Ya Kujibu Na Namhususisha Kwa Hi Shukurani Nyingi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Jibu La Ombi Lenu La Ukarimu Kwamba ifafanuliwe Na Nasema:
Ndio, Namkusudia Yule Alie kufa mwanamke, Na Hana Yeye Atakae Mrithi ispokua Mume Wake Na Dada Zake Wawili Kutokana Na Baba Na Mama Yani Yule dada wa kwanza ni dadake wa yule mwanamke alie kufa kwa baba na mama na hivo hivo yule dadake wa pili ni dadake yule mwanamke alie kufa kwa baba na mama, Na huyo mwanamke alie kufa hana yeye watoto wakiume wala waotot wa kike na wazazi wote wawili wa mwanake alio kufa wamekuf kabla wakati wake, Na Watakao rithi peke ni Mume na Madada wawili wa yule mwanamke alie kufa.
Basi ni kiwango gani Alio Faradisha Allah Aza Wa Jal Kwa Mume kwenye hili jambo?
Na ni kiwango gani Alio Faradhisha Allah Ju ya ma dada wawili kwa hili jambo?
Na Nawapa nyote Shukrani Sana na hishima

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Subhana Rabika Rabi Al'iza Ama Yasifun, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..


Nduguyangu mkarimu unae uliza Abdul'Karim Alaoulaki, Alsalam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu, Al'Salam Aleyina na ju ya wote waja wa Allah Wema katika wakwanza na katika wa mwisho na katika anga ju Mpaka Sku Ya Dini, Na kuhusu Fatwa Ya Haki katika fungu ya ma dada wawili basi kwa kila moja wao robo baada ya wasia walio usia ama kulipa deni, Na ama utawala kutoka Kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran kwamba kwa kila moja wao katika ma dada kupata robo basi nawachunguzia kutokana na sehemu ya mume wake ambao Amifanya Allah Ni muhakam ilo wazi maana yake Al'Quran Al3adhim Kwenye Kauli Yake Allah Ta3ala:
{وَلَكُمْ نِصْفُ مَا تَرَكَ أَزْوَاجُكُمْ إِنْ لَمْ يَكُنْ لَهُنَّ وَلَدٌ} صدق الله العظيم [النساء:12].
Allah Ta3ala Asema: { Na fungu lenu ni nusu walicho acha wake zenu ikiwa hawana mtoto} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Nissa:12].


Na Kwavili Fungu la mume wake ambao Amemwandika Allah kwa Mume pindi akimrithi mke wake na hana mke wake mtoto basi Amemgawanyia Allah Yeye Nusu ya kilio wachwa baada ya wasia alio usia nayo ama kulipa deni, Na Ama ile Nusu ya pili basi yenda kwa wazazi Wake Wawili, Na Kwavike wazazi wake wawili wamekufa na hana ndugu wa kiume bali ni ma dada wawili basi Allah Amewandikia ile nusu ya pili basi kwa kilamoja wo robo baada ya wasia alio usia ama kulipa deni katika mirathi kamili, Basi baada ya kutekeleza ile wasia ama kulipa dini ambao ilikua iko katika dhima ya yule mwanamke alio kufa basi ilio baki katika mirathi inagawanyika nusu mbili, Ama Nusu Moja itaenda kwa Mume Wake na ama nusu ingine itagawanywa mara mbili baina ya ma dada wawili basi kila moja wao atapata robo.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu'yako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
وسلامٌ على المُرسلين،
والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوك الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ


- 3 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - 07 - 1430 هـ
24 - 06 - 2009 مـ
02:03 صباحاً
ـــــــــــــــــ


أهلاً وسهلاً ومرحباً برجُلٍ من أولي الألباب، فهل يتذكر إلا أولي الألباب..
Ahlan Wa Sahlan Na Marhaba Mwanmume Katika "Ululalbab" Wenye Akili, Na Je Nani Atakae Kukumbuka Ila Wenye Akili..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Al'Salam Alekom Wa Rahmatullah Wa Barakatuhu Nyote
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
Al'Salam Alekom Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu
Hakika Yale Mulio Taja Ewe Bwana Mkarimu Kwamba Fungu La Mume Ni Nusu, Na Fungu La Madada Wawili Ni Nusu ( Kwa kila Moja Wao Ni Robo) Nayo Ndio Haki Hakuna Shaka Wala Utetanishi ndani yake pamoja yakwamba Kauli Ya "Assawad Alaadham" Wengi Katika waislamu kinyume na hayo
Na kwajili Ya kufafanua Hi Haki Ambao Haina Shaka Wala utetanishi ndani yake na ambao imefichika ama imefichwa kwa wingi katika waislamu kitambo na sasa, Na ili iyene faida kwa wote nataraji kuniruhusu mimi kusubutu kuwauliza suali linalo kuja utarudisha jibu vipi kwa wale wanao sema kwamba fungu la ma dada wawili ni thuluthi mbili kwakuleta dalili kutoka kwa Al'Bari Aza Wa Jal"
يَسْتَفْتُونَكَ قُلِ اللّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلاَلَةِ إِنِ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَآ إِن لَّمْ يَكُن لَّهَا وَلَدٌ فَإِن كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ مِمَّا تَرَكَ ... " (176) سورة النساء
Allah Ta3ala Asema: {Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176].
Na Newapa Shukrani Sana Na Hishima
Allahuma Sali Ala MuhammD Wa Ali Muhammad.


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Khatim Wa Ma Nabi Na Mitume Nabi Umyi Ambae Ni Mwaminifu Muhammad Mtume Wa Allah ju yake Afdhal Asalawat Kutoka kwa Allah na Malaika Wake na waumini katika wa mwanzo na wa mwisho na katika anga ju mpaka siku ya Dini, Na Salam Ju Ya Ndugu Yangu Mkarimu katika ulillalbab wenye akili katika wale ambao wanaipeleza Bayana Ya Haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ndio watakumbuka na hakuna atakae kukumbuka ispokua ulilalbab wenye akili na miongoni mwao Ndugu Mkarimu mwenye kutafuta ilimu Abdulmalik Alaaulaiki, Na Ahlan Wa Sahlan Na Marhaba kwako katika meza ya mazungumzo ambao huru (Tuvoti Ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani)..

Na nakupa fatwa kwa haki kwamba inakupasa wewe kukosoa Bayana Za Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa umiona ndani yake kombo pekeyake ikiwa ina kombo kwa haki kwa ilimu na utawala ina uwongofu kuliko ilimu na utawala wa Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Na haitonitukua utukufu kwa dhambi na sikua katika ma jahili; Bali Utaenda kuniona nanyenyekea Haki Na Nisalimu kusalimu, Wallah Al'Mustaan.


Na Ama kuhusu Hoja ya wale waliosema kwamba ma dada wa wawili wana Thuluthi alafu wakaleta dalili kwenye kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلِ اللّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلاَلَةِ إِنِ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَآ إِن لَّمْ يَكُن لَّهَا وَلَدٌ فَإِن كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ مِمَّا تَرَكَ} صدق الله العظيم [النساء:176].
Allah Ta3ala Asema: {Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176].


Na Alafu Tunarudisha Kwao jubu kwa haki: Hakika Alie kufa kwenye hi Aya Ni Mwanamume Wala Sio Mwanamke Yani Mume Wala Sio Mkee, Na Hapa Urathi inakua tafauti ikiwa alie kufa ni mume na hawakua warithi asili ispokua ni Ma Dada Wake Wawili basi Amewajalia Allah Kwao Ni Th


uluthi ya alicho kiwata na ikiwa ma dada zake ni zaidi kuliko hivo hata kama watakua mia moja basi hawana wao ila thuluthi mbili na kwa mwanamume mfano wa kiwango ya wanawake wawili. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلِ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلالَةِ إِنِ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَا إِنْ لَمْ يَكُنْ لَهَا وَلَدٌ فَإِنْ كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ مِمَّا تَرَكَ وَإِنْ كَانُوا إِخْوَةً رِجَالاً وَنِسَاءً فَلِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الأُنثَيَيْنِ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ أَنْ تَضِلُّوا وَاللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ (176)} صدق الله العظيم[النساء].
Allah Ta3ala Asema: {Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176].

Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu yenu Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدلله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــ


- 4 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - 07 - 1430 هـ
24 - 06 - 2009 مـ
11:14 مساءً
ــــــــــــــــــ


حقيقٌ لا أقول على الله غير الحقّ وبالحقّ أنزلناه وبالحقّ نزل..
Hakika Sisemi Ju Ya Allah Ila Haki Na Kwa Haki Tumeiteremsha Na Kwa Haki imeteremka..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
Asalam Alekom Wa Rahmatullah Wa Barakatuhu Nyote
Al'Imam Nasser Muhamnad Al'Yamani
Asalam Alekom Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Nawashkuru kwa mapokezi yenu ewe bwana Mkarimu na nashkuru jibu lenu la mwisho ambalo sipati kwangu pingamizi yoyote ju yake na mpaka itimu kufahamika maudhui haki yake najiruhusu nafsi yangu kusubutu kuwauliza inao fwata: Je waitakidi ewe bwana mkarimu Kwamba Ile faridha yawezekana kuzidi ndio izidi mkusanyiko wa ma faridha katika mali yenyewe ??
Kwa namna ingine ewe bawan mkarimu kwamba inawezekana ikutane jambo moja idadi ya warithi kiasi ya kua mkusanyiko ya alio Faridhisha Allah kwao ni zaidi kuliko asili ya alikokiwacha aliokufa??
Na bila shaka kwamba wajua madhehebu zote za kislamu zilioko wanasema kwa kuzidi faridha, Na hakuna alio khalifu kwa hayo ispokua uimamu wa ma ithnaasharia wale ambao walisema kwa kubatilisha kuzidi Katika faridha.
Yani hili suali langu kwa namna yake ya mwisho nalo: je unaitakidi ewe bwana mkarimu kwa kusihi kuzidi faridha kama wanavo sema waislamu wote, Ama waona kubatilisha kama wanavo sema uimamu alithnasharia?
Na kwenu Shukrani sana na hishima Allahuma Sali Aala Muhammad Wa Al Muhammad.


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin, Na Asalam Za Allah Ju Yako Na Rahma Zake Na Baraka Zake..
Na Nataraji Kutoka Kwa Allah Kwamba Mimi Niwe Nimefahamu Suali Lako Vizuri Kwenye Kauli Yako:


(Je Waitakidi ewe bwana mkarimu kwamba inawezekana ikusanyike kwenye jambo moja warithi wengi kiasi iwe mkusanyiko Alio Faradhisha Allah kwao Zaidi kuliko Asili ya alio wacha aliokufa)


Na Jibu Kwa Anae Tafuta ilimu Abdulmalik Alawulaki: Hapana, Basi angalia kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلالَةً أَوِ امْرَأَةٌ وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِنْهُمَا السُّدُسُ فَإِنْ كَانُوا أَكْثَرَ مِنْ ذَلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِنْ بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَى بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ (12)} صدق الله العظيم [النساء]،
Allah Ta3ala Asema:{Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa],
Basi ingekua kila moja wao sudusi na wao ni wengi hatimai wataenda na urathi, Lakini Allah Amehukumu katik
a hili suali ikiwa ndugu wakiume na wakike ni wengi basi Amewajalia washirika kwenye thuluthi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلالَةً أَوِ امْرَأَةٌ وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِنْهُمَا السُّدُسُ فَإِنْ كَانُوا أَكْثَرَ مِنْ ذَلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِنْ بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَى بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ (12)} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema: { Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi3alamin..
Ndugu Yako Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوك الإمام ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ


- 5 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
02 - 07 -1430 هـ
25 - 06 -2009 مـ
10:51 مساءً
ــــــــــــــــــ

{ وَلَا تَعْجَلْ بِالْقُرْآنِ مِنْ قَبْلِ أَنْ يُقْضَى إِلَيْكَ وَحْيُهُ وَقُلْ رَبِّ زِدْنِي عِلْما }
{ Na wala usiwe na haraka kw Al'Quran kabla haijaisha kwako wahyu yake na sema Mola Mlezi Wangu nizidishe ilimu}


Bismillah Al'Rahman Al'Rahi


Asalam Alekom Wa Rahamtu Allah Wa Barakatu Nyote
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Asalam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu Shukurani kwa jibu lenu ewe bwana mkarimu ispokua ile niliokusudia kwenye suali langu ni kua inawezekana kukutana idadi katika warithi na Amefaradhisha Allah Aza Wa Jal Kwa kila moja wao faridha katika Mali, Na inakua jumla ya hizi faridha imezidi kutokana na asili ya ile mali basi izidi kwa hayo hio faridha??
Na kwa mfano kwa hayo, Lau ingekua Mwanamume amekufa Na amewacha mkewake na kutokana na mama ndugu zake wa kike wawili na ndugu zake wawili wa kike ambao ni shakiki zake yani ndugu zake kwa baba na mama ama ndugizake wakike wawili kwa baba Basi wanasema Waislamu wa madhehebu zote za kislamu zilioko ispokua uimamu kwamba nasibu ya mke kwa hili suali ni robo, Na nasibu ya ndugu wawili wa kike kwa mama ni thuluthi, Na nasibu ya ndugu wa kike wawili ambao ni dada zake kwa baba na mama ama dada zake wawili kwa baba ni thuluthi mbili, Na kwahivo inakua jumla ya mafaridha katika hili suali ( robo + thuluthi + thulithi mbili ) Nayo zaidi kutokana na mali yenyewe ikawa faradhi imezidi yani imezidi kutokana na mali yenyewe, Na kwajili kusuluhisha tatizo hili wanafanya kuwabebesha hi ilio zidi ju ya warithi wote kwa kupunguza faradhi ya kila moja wao kwa kiyasi cha washirika kwa ile faridha kwenye ile ilio zidi!!! Na je unaona ewe bwana mkarimu kwamba ugawaji wa faridha katika suali hili ni sahihi ama nayo ni batil??
Na Nawapa Shukrani sana na hishima Allahuma Sali Ala Muhammad Wa Ala Ali Muhammad.


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Slam Ju Ya Alio Khitimisha Ma Nabi Na Mitume Al'Nabi Al'Ummi Al'Amin Na Alihi Walio Wazuri Walio Tahirika Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Dini, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin Asalam ju ya ndugu Yangu Mkarimu Abdul'Malil Alawulaki Na Rahma Za Allah, Na Ama Suali Lako lasema:


Mwanamume amekufa Na amewacha mkewake na kutokana na mama ndugu zake wa kike wawili na ndugu zake wawili wa kike ambao ni shakiki zake ama ndugizake wakike wawili kwa baba Basi wanasema Waislamu wa madhehebu zote za kislamu zilioko ispokua uimamu kwamba nasibu ya mke kwa hili suali ni robo, Na nasibu ya ndugu wawili wa kike kwa mama ni thuluthi, Na nasibu ya ndugu wa kike wawili ambao ni dada zake kwa baba na mama ama dada zake wawili kwa baba ni thuluthi mbili, Na kwahivo inakua jumla ya mafaridha katika hili suali ( robo + thuluthi + thulithi mbili ) Nayo zaidi kutokana na mali yenyewe ikawa faradhi imezidi yani imezidi kutokana na mali yenyewe, Na kwajili kusuluhisha tatizo hili wanafanya kuwabebesha hi ilio zidi ju ya warithi wote

kwa kupunguza faradhi ya kila moja wao kwa kiyasi cha washirika kwa ile faridha kwenye ile ilio zidi!!!


Na Hio kwako hukmu Ya Al'Imam Al'Mahdi Wa Kweli Kutoka kwa Mola Mlezi wenu kwa yale mulikuwa munakhitilifiana ndani yake katika hili suali, Na Wala Na Hapana Hamutoweza nyote kupinga hukumu ya haki na wala hamutopata katika nafsi zenu haraj haya kwa yale nilio hukumu baina yenu kwa haki musalimu salamu kulingana na nguvu ya hoja kutoka kwa muhakam ilio wazo maana yake Al'Quran ikiwa nyinyi munaiamini.

Na Mwanzo nawapa fatwa kuhusu Alkalala na hio kwenu fatwa ya Akalala kwa haki, Nae Ni yule ambae wanamrithi ndugu zake peke basi hana mke wala watoto wala mamake wala babake ikawa warithi wake ni ndugu zake kwa baba na mama na ndugu zake kwa baba, Basi wale ndugu zake kutokana na babake na mamake basi hawo ni ma shakiki wake na Akagawanyia Allah Wao Thuluthi mbili akawafanya washirika ndani yake na Sehemu ya mwanamume ni kiwango cha wanawake wawili, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلْ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلَالَةِ إنْ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَا إنْ لَمْ يَكُنْ لَهَا وَلَدٌ فَإِنْ كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ مِمَّا تَرَكَ وَإِنْ كَانُوا إخْوَةً رِجَالًا وَنِسَاءً فَلِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الانثيين يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ أَنْ تَضِلُّوا وَاَللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ} صدق الله العظيم [النساء:176].
Allah Ta3ala Asema: {Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176].


Na imebaki katika kilio wachwa kutokana na Al'Kalala Tuluthi, Alafu Akawapa Fatwa Allah Kwamba itaenda kwa ndugu zake kwa babake na ataingia na wao ndugu yake kwa mamake kutokana na mwanamume mwengine ikiwa yuko na yake ni sudusi kutokana na thuluthi, Na ilio baki katika thuluthi watapewa nduguzake kwa baba, Basi ikiwa ndugu zake kwa mama ni zaidi ya moja basi amewajalia Allah ni washirika katika thuluthi pamoja na nduguzake kwa baba, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِن كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلَالَةً أَوِ امرأة وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا السُّدُسُ فَإِن كَانُوا أَكْثَرَ مِن ذَٰلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِن بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَىٰ بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِّنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ} صدق الله العظيم [النساء:12].
Allah Ta3ala Asema: { Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na Wala Hakujalia Allah Nasibu Ya Ndugu ambao warithi wa Al'Kalala kwa alokiwata ndugu yao sawa kama munavo sema pindi naona kwamba nyinyi munafanya thuluthi mbili ni ya ndugu zake kwa baba na mama na hivo hivo kwa ndugu zake kwa babake basi munafanya ni sawa ma shakiki ambao ni dugu zake kwa baba na mama na ndugu zake kwa baba kwenye thuluthi mbili na Hakuwafanya Allah Sawa katika Kitabu Cha Allah alafu munampa thuluthi kwa ndugu zake hususi kwa mamake na wala Hakuteremsha Allah utawala kwa hayo, Bali Hukmu Ya Allah Alhak kwamba Thuluthi mbili ni ya ndugu zake kwa babake na mamake na hawo ndio ma shakiki wake na Amehukumu Allah yao ni thuluthi mbili, Na Ama Thuluthi ilio baki basi Amewamuru Allah kwamba mpeane kutokana nayo ndugu zake kwa Mamake Sudusi kutokana na thuluthi ilio baki sawa mwanamume ama mwanamke basi mutawapa kila moja wao sudusi Alafu mutawapa ilio baki katika thuluthi ndugu zake kwa baba ispokua wakiwa ndugu zake kwa mama ni zaidi ya moja basi Amewajalia Allah ni washirika katika thuluthi ilobaki pamoja na ndugu zake kwa


Baba, Na ama ma shakiki wake ambao ni ndugu zake kwa baba na mama basi wao nasibu yao ni thuluthi mbili Safi, Na hivo ni kwajili wao ni mashakiki yani ndugu zake kwa baba na mama yule Alkalala, Lakini nyinyi mumefanya kugawanya urathi wa Alkalala Sawa Baina yao na kwa mwanamume kiwango cha wanawake wawili kama kwamba urathi watoka kwa baba, Na Wala Hakuteremsha Allah Kwa Hayo Utawala, Basi Vipi mutafanya warithi wa ndugu ambae ni shakik yani kwa baba na mama kurithi ndugu yao munafanya nasibu yake kama nasibu ya ndugu yake kwa baba na wala Hakuteremsha Allah nayo utawala bali Amegawanya Allah Thuluthi mbili ya kilo wachwa safi kutoka kwa Alkalala ndio wapewa mashakiki wa Alkalala na wao ni ndugu zake kwa baba na mama, Na ikiwa ni ndugu yake wa kike wa Alkalala basi yake ni nusu ya urathi wa ndugu yake ambae ni shakiki wake yani ndugu yake kwa baba na mama yule dadake, Na ama nusu ingine basi itaenda kwa nduguzake kwa baba ama ndugu zake kwa mama kwa mwanamume mwengine, Na ikiwa ana ndugu wa kike wawili kwa baba na mama basi yao ni thuluthi mbili, Na ikiwa ma shakiki wake yani ndugu zake kwa baba na mama ni wa kiume na wa kike basi Amewajalia Allah Ni Washirika kwenye thuluthi mbili, Na ama thuluthi ilobaki katika urathi wa alkalala basi Amewapa Fatwa Kuhusu jambo hilo katika Aya ingine kwenye maudhui hio hio ya alkalala kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلالَةً أَوِ امْرَأَةٌ وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِنْهُمَا السُّدُسُ فَإِنْ كَانُوا أَكْثَرَ مِنْ ذَلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِنْ بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَى بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ (12)} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema: { Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na vile haikubaki kutokana na urathi wa alkalala ila thuluthi Akawamuru Allah kwamba mumpe ndugu yake ama dadake kwa mama sudusi, Na ama baki ya thuluthi basi mutampa ndugu zake kwa baba, Na Ama jibu ya haki kwa suali la ndugu yangu mkarimu Abdulmalik Alawulaki kwenye suali lake ambalo asema:


(Mwanamume amekufa na amewacha mke wake na ndugu wa wili wa kike kwa mama na ndugu wa kike ni mashakiki wake yani ndugu zake kwa baba na mama ama ndugu zake wakike wawili kwa baba).


Na Jibu la haki: Hakika Ya Mkee yake ni robo, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلهنّ الرُّبُعُ مِمَّا تَرَكْتُمْ إِن لَّمْ يَكُن لَّكُمْ وَلَدٌ} صدق الله العظيم [النساء:12].
Allah Ta3ala Asema: { Na wake zenu watapata robo mlicho kiacha, ikiwa hamna mtoto} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Nissa],


Na Ama Ndugu zake wa kike kwa baba na mama basi yao ni nusu, Na ama ndugu zake wakike kwa mama yao ni robo.


Na labda anataka moja wa jumhuri ya wanazuoni anikatize aseme:" vipi utafanya yao ni nusu na yao ni thuluthi kwa dalili ya kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلْ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلَالَةِ إنْ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَا إنْ لَمْ يَكُنْ لَهَا وَلَدٌ فَإِنْ كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ} صدق الله العظيم [النساء:176]؟"
{Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176]"?
Na Alafu Anarudisha Jibu Ju Yake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Hio ni hukumu yenu kwa dhana ambao haisaidi haki kitu kwakudhani kwenu kwamba alkalala anae mke, Ispokua Anaitwa mtu ambae amekufa kalala ni yule ambae hana mke wala watoto wala wazazi wake wawili wakamrithi ndugu zake kwa


baba na mama na hawo ndio mashakiki wake na ndugu zake kwa baba na ndugu zake kwa mama kwa mume mwengine ikiwa wako, Na ama ikiwa hakuna ndugu kwa mama basi itaenda thuluthi safi kwa ndugu zake kwa baba, Na ama ushuhuda kwamba hana mume kwenye kauli yake Aallah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلْ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلَالَةِ إنْ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَا إنْ لَمْ يَكُنْ لَهَا وَلَدٌ فَإِنْ كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ} صدق الله العظيم [النساء:176].
{Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176]


Basi ushuhuda ni kwamba amewatajia nyinyi thuluthi ya uarthi ya Alkalala na wapewa mandugu zake kwa baba na mama, Na kwavile kumebaki katika urathi wa Alkalala thuluthi alafu Akawazidishia Allah ufafanuzi katika thuluthi ilio baki katika warithi wa alkalala. Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِنْ كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلالَةً أَوِ امْرَأَةٌ وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِنْهُمَا السُّدُسُ فَإِنْ كَانُوا أَكْثَرَ مِنْ ذَلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِنْ بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَى بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ (12)}
صدق الله العظيم
[النساء].
Allah Ta3ala Asema: {Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Basi iko wapi nasibu ya mke katika urathi wa yule alio kufa Alkalala na haikubaki kitu kwajili haikuitwa alkalala ispokua kwa sababu kutokuwepo mke na ama wakati akiwa hana mtoto mutapata Allah Asema
إن لم يكن له ولدٌ
ikiwa hana yeye mtoto,
lakini yeye amekufa akiwa "kalala" yani yeye hana mke wala watoto wala wazazi wawili ndio wakamrithi ndugu zake, Kwajili ya hivo munakuta Allah Amejalia kugawanya urathi wa alkalala kwa ma thuluthi, Akafanya ma shakiki wa alkalala yani ndugu zake kwa baba na mama thuluthi mbili ya urathi, Na ama thuluthi Akajalia ya ndugu zake kwa baba na hivo hivo kwa ndugu zake kwa mama ikiwa wako la hakuna basi itakua thuluthi kwa ndugu zake kwa baba ikakamilika kugawanya urathi wa Alkalala, Basi yuko wapi mke ikiwa nyinyi ni wa kweli! Lakini akifa mwanamume na ana mke basi mkewake anayo katika urathi katika kichwa robo kama Alivo Wamuru Allah, Alafu inabaki robo tatu katika iliowachwa wataochukuwa ndugu zake wale ma shakiki yani ndugu zake kwa baba na mama robo mbili, Na ama robo ya wisho basi watapewa ndugu zake kwa baba ikiwa wako na itaongezwa ju yao ndugu yake wa kiume ama ndugu yake wa kike kwa mama, Na ikiwa hakuna yani ndugu zake kwa baba na kadhalika ndugu zake kwa mama kutoka kwa mume mwemgine basi hakumrithi yeye ispokua ndugu zake ma shakiki yani ndugu zake kwa baba na mama basi ya mke hivo hivo robo, Na wala siwezi kwamba nizidishe ju ya hayo ili muridhike na mimi na ni khalifu hukumu ya Allah, Na ama robo tatu basi watapewa ma shakiki wake yani ndugu zake kwa baba na mama kwajili wao ni awula kwa kumrithi ndugu yao basi wao ni wakaribu kwa damu yake, Na ama waliokaribu katika ma ami zake ama watoto wa ami zake basi Amewamuru Allah kwamba mumpe atakae hudhuria ugawanyaji miongoni mwao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذَا حَضَرَ الْقِسْمَةَ أُولُو الْقُرْبَى وَالْيَتَامَى وَالْمَسَاكِينُ فَارْزُقُوهُمْ مِنْهُ وَقُولُوا لَهُمْ قَوْلًا مَعْرُوفًا}
صدق الله العظيم [النساء:8].
Allah Ta3ala Asema: { Na wakati wa kugawanya wakihudhuria jamaa na mayatima na masikini, wapeni katika hayo mali ya urithi, na semeni nao maneno mema } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:8].


Ndugu Yako Al'Imam Al
'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــ
- 6 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
03 - 07 - 1430 هـ
26 - 06 - 2009 مـ
11:53 مساءً
ــــــــــــــــــ

الجواب بالحقّ، حقيق لا أقول إلا الحقّ لمن أراد الحقّ..
Jibu kwa Haki, Hakika Sisemi Ila Haki Kwa Yule Atakae Haki..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Na Ama Suali La Mulizaji Nalo Ni:
(Vipi itatimu kugawanywa nasibu ya warithi kwa Mwanamume Amemfisha Allah akawacha ndugu shakiki yani kwa baba na mama na ndugu wa kike wawili mashakika yani ndugu wa kike kwa baba na mama na mke na waschana watatu kwa baba na mama)

Limeisha Suali
Na kwako jibu kutoka muhakam ya kitabu katika nasibu urathi ya waschana wa alio kufa, Hakika Ameamuru Allah kwamba yao ni thuluthi mbili kutekeleza Amri Ya Allah Kwenye Kauli Yake Ta3ala:
{يُوصِيكُمُ اللّهُ فِي أَوْلاَدِكُمْ لِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الأُنثَيَيْنِ فَإِن كُنَّ نِسَاء فَوْقَ اثْنَتَيْنِ فَلَهُنَّ ثُلُثَا مَا تَرَكَ} صدق الله العظيم [النساء:11].
Allah Ta3ala Asema:{ Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho kiacha maiti} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:11].


Na Ama Mke basi Ameamuru Allah kwamba yake ni thumuni katika kile alichokiwata mumewake ikiwa anao mtoto, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَهُنَّ الرُّبُعُ مِمَّا تَرَكْتُمْ إِنْ لَمْ يَكُنْ لَكُمْ وَلَدٌ فَإِنْ كَانَ لَكُمْ وَلَدٌ فَلَهُنَّ الثُّمُنُ مِمَّا تَرَكْتُمْ مِنْ بَعْدِ وَصِيَّةٍ
تُوصُونَ بِهَا أَوْ دَيْنٍ} صدق الله العظيم [النساء:12]
Allah Ta3ala Asema:{ Na wake zenu watapata robo mlicho kiacha, ikiwa hamna mtoto. Mkiwa mna mtoto basi sehemu yao ni thumni ya mlicho kiacha, baada ya wasia mlio usia au kulipa deni} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:12],
Ikawa nasib ya wasichana ni thuluthi ya alikokiwata na mke ni thumuni ya alikokiwata, Na Ama ilio baki basi itaenda kwa ma shakiki wake yani ndugu zake kwa baba na mama na Amewajalia Allah ndani yake washirika na fungu la mwanamume ni Fungu mbili la mwanamke.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ


- 7 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
15 - 07 - 1430 هـ
08 - 07 - 2009 مـ
11:58 مساءً
ــــــــــــــــــ

وعليكم السلام ورحمة الله تعالى وبركاته..

Wa Alekom Al'Salam Wa Rahmatullah Ta3ala Wa Barakatuhu..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume Na Alihi Walio Wazuri Walio Tahirika Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Dini..
Na Katika Amani Ya Allah Na Hifadha Yake Na Ulinzi Wake Ndugu Mkarimu Abdulmalik Alawulaki, Hakika ya Al'Imam Al'Mahdi Anakupenda kwajili Ya Allah Na katika kukupenda wewe nimejua kwamba wewe ni katika wachaji Mungu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ سَيَجْعَلُ لَهُمُ الرَّحْمَنُ وُدًّا (96)} صدق الله العظيم [مريم].
Allah Ta3ala Asema: {Hakika ya wale walio amini na wakatenda mema Atwajalia wao Al'Rahman mapenzi (96)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوك الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــ


- 8 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 08 - 1430 هـ
03 - 08 - 2009 مـ
12:59 صباحاً
____


يا عصام لا تُحاجّني بكلامٍ إنْ لم يكن مدعوماً بعلمٍ..
Ewe Isaam Usinihoji Kwa Maneno ikiwa Haikupewa Nguvu Kwa ilimu..


Bismillahi Al'Rahim Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Na ewe Isaam, Usinijadili kwa maneno ikiwa haikupewa nguvu kwa ilimu, Ama kuhusu alkalala basi imetangulia kuwapa fatwa kwamba Allah Amenibainishia mimi katika kitabu kwamba Al'Kalala hana mke wala watoto wala wazazi wake wawili wakamrithi ndugu zake kutoka kwa babake na mam


ake, Na ama thuluthi mbili basi Amegawanay Allah kwa ndugu zake kwa baba na mama, Na ama thuluthi Ameigawanya Allah kwa ndugu zake Kwa baba na anaigia na wao ndugu yake kwa mama ikiwa yuko kutoka mume mwengine, Na Hakumwingiza Allah Kwenye thuluthi mbili baina ya ndugu zake kwa baba na mama, Hapana; Bali Amemwingiza Allah kwenye fungu la ndugu zake kwa baba, Na Ama utawala wa ilimu na ushuhuda ulio wazi kwa thuluthi mbili ya ndugu zake kwa baba na mama imekuja katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلِ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ فِي الْكَلالَةِ إِنِ امْرُؤٌ هَلَكَ لَيْسَ لَهُ وَلَدٌ وَلَهُ أُخْتٌ فَلَهَا نِصْفُ مَا تَرَكَ وَهُوَ يَرِثُهَا إِنْ لَمْ يَكُنْ لَهَا وَلَدٌ فَإِنْ كَانَتَا اثْنَتَيْنِ فَلَهُمَا الثُّلُثَانِ مِمَّا تَرَكَ وَإِنْ كَانُوا إِخْوَةً رِجَالاً وَنِسَاءً فَلِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الأُنثَيَيْنِ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ أَنْ تَضِلُّوا وَاللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ(176)} صدق الله العظيم[النساء].
Allah Ta3ala Asema: {Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu juu ya mkiwa. Ikiwa mtu amekufa, naye hana mtoto, lakini anaye ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti. Na mwanamume atamrithi ndugu wa kike ikiwa hana mwana. Na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:176].


Na hi Aya ni muhakama iko wazi maana yake ewe isaam na utapata ndani yake kugawanya urathi wa alkalala baina ya ndugu ma shakiki yani kwa baba na mama, Na Hivo kwamba Allah Amegawanya kwao thuluthi mbili na akawafanya washirika katika thuluthi mbili na mwanamume Fungu la wanawake wawili, Na itabaki katika urathi wa alkalala thuluthi, Alafu ikawajia ufafanuzi kutoka kwa Mola Mlezi wenu katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim Kuhusu Thuluthi ilio baki, Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِن كَانَ رَجُلٌ يُورَثُ كَلَالَةً أَوِ امرأة وَلَهُ أَخٌ أَوْ أُخْتٌ فَلِكُلِّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا السُّدُسُ فَإِن كَانُوا أَكْثَرَ مِن ذَٰلِكَ فَهُمْ شُرَكَاءُ فِي الثُّلُثِ مِن بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصَىٰ بِهَا أَوْ دَيْنٍ غَيْرَ مُضَارٍّ وَصِيَّةً مِّنَ اللَّهِ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَلِيمٌ} صدق الله العظيم [النساء:12].
Allah Ta3ala Asema: { Na ikiwa mwanamume au mwanamke anaye rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume au ndugu mke, basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi kuliko hivyo basi watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa deni, pasio kuleta dhara. Huu ndio wasia ulio toka kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na Hawo Ni ndugu kwa mama kwa mume mwengine na kwa ndugu kwa baba ambao sio ma shakiki yani sio kwa baba na mama basi watapewa Sudusi kwa ndugu yake wa kiume ama ndugu yake wa kike kwa mamake kutoka mwanamume mwengine, Na ilio baki katika thuluthi basi itaenda kwa ndugu zake kwa baba basi Amewafanya washirika ndani yake, Na ama ma shakiki wake yani ndugu zake kwa baba na mama basi Amewagawanyia wao thuluthi mbili na Akawafanya Allah washirika ndani yake, Na haikubaki ispokua thuluthi alafu Akawabainishia Allah kwenu kwamba ni ya ndugu zake kwa mama na ndugu zake kwa baba, Basi usinihoji kwa maneno ndugu mkarimu Akubariki Allah, Basi usibebeshe nafsi yako dhulma kuu basi sio kugawanya urathi kama munavotaka.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين ، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ


- 9 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
10 - 08 - 1431 هـ
22 - 07 - 2010 مـ
06:06 صباحاً
ـــــــــــــــــ


ردّ الإمام المهديّ إلى أحمد عيسى إبراهيم..
Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Kwa Ahmad Isa Ibrahim..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Salam Za Allah Ju Yenu ewe ndugu mkarimu na ju ya wote ma Ansar walio tangulia walio bora Na wote Watafiti Wa Haki wanao ingia katika meza ya Mazungumzo, Na anacho taraji Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Kutoka kwa Ndugu Ahmad isa ibrahim kwamba afanye ma suali kwa


kurahisisha inaeleweka kwa wote bali aifanye inaeleweka kwa watu wanao fahamu ndugu, Na hivo ili wajuwe watafiti wa haki kwamba Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani amejibu kwa haki kwa utawala wa ilimu kwa idhini ya Allah mwenye ujuzi mwenye kujua, Lakini ikiwa hawakufahamu suali hawatojua kwamba mimi nimekujibu kwa haki hakika sisemi ju ya Allah ila Haki.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu yenu Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين ، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــ


- 10 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 08 - 1431 هـ
23 - 07 - 2010 مـ
04:24 صباحاً
ــــــــــــــــــــ


ردّ الإمام المهدي بالمزيد من بيان المواريث من محكم الكتاب ذكرى لأولي الألباب..
Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Kwa Kuzidisha Katika Kubaini urathi katika Muhakam Kitabu Ukubusho Wa ulilalbab Wenye Akili..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Alio Khitimisha Ma Nabi Na Mitume, Na Alihi Walio Wazuri Walio Tahirika Na Walio Fwata Haki Mapaka Siku Ya Dini Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Na inao fwata nukulu katika bayana ya mulizaji Ahmad Isa ibrahim inaofwata kwa rangi nyekundu:


( Sawa Ndugu mkarimu nitakuletea wewe hu mfano na nataraji kwako kwamba ugawanye urathi kwa mujibuwake kwa wanao stahiki.
Tuseme kwamba yule alio wacha urathi ni mwanamume ameowa na wale ambao wako hai katika kugawanya kilowachwa wao ni: Mke wake + Wazazi Wake + Watoto wake na idadi yao ni /7/ Watano ni waschana watatu miongoni mwao wamebalighi na wawili hawajabalighi na moja ana ulimavu na watoto wawili wa kiume moja amebalighi moja bado haja balighi na amegonjeka kwa ugonjwa wa daima.)

Limeisha:

Na Kwenye Bayana Ya Haki Kutoka Kwa Allah Kusadikisha Kwa Kauli Yake Allah Ta3ala:
{يَسْتَفْتُونَكَ قُلِ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ} صدق الله العظيم [النساء:176].
{ Wanakuomba uhukumu, sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu}


Ama Fungu La Mke:
{فَإِن كَانَ لَكُمْ وَلَدٌ فَلَهُنَّ الثُّمُنُ مِمَّا تَرَكْتُم مِّن بَعْدِ وَصِيَّةٍ تُوصُونَ بِهَا أَوْ دَيْنٍ} صدق الله العظيم [النساء:12]
Allah Ta3ala Asema:{ Mkiwa mna mtoto basi sehemu yao ni thumni ya mlicho kiacha, baada ya wasia mlio usia au kulipa deni} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:12].
Na Ama vipi mutajua kiwango cha thumuni ya mke nayo ni kama ifwatavo:
100000 Dinar ➗8 = 12500 Dinar, Hio ndio thumuni sahihi ya mke kutokana na jumla ya kiasi cha kilio wachwa ambao ameitaja Ahmad isa Dinar alfu mia moja, Ikawa fungu lake sawa sahihi ni Dinar Alfu kumi na mbili na mia tano.


Na tunakuja sasa kwa fungu la wazazi wake wawili, Amesema Allah Ta3ala:
{قُلِ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ}صدق الله العظيم [النساء:176]،
{ sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:176]



{وَلأَبَوَيْهِ لِكُلِّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا السُّدُسُ مِمَّا تَرَكَ إِن كَانَ
لَهُ وَلَدٌ}
صدق الله العظيم [النساء:11].
{Na wazazi wake wawili, kila mmoja wao apate sudusi ya alicho kiacha, ikiwa anaye mtoto} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:11].
Yani Sudisi ya alicho kiwacha alafu tutagawanya kile kiasi ya kiwango kwa nambari sita alafu tutawapa wazazi wake wawili Sudusi.

Na tunakuja sasa kwa fungu la watoto wake, Akasema Allah Ta3ala:
{قُلِ اللَّهُ يُفْتِيكُمْ}صدق الله العظيم [النساء:176]
{ sema: Mwenyezi Mungu anakupeni hukumu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:176]


{يُوصِيكُمُ اللّهُ فِي أَوْلاَدِكُمْ لِلذَّكَرِ مِثْلُ حَظِّ الأُنثَيَيْنِ} صدق الله العظيم [النساء:11].
Allah Ta3ala Asema: { watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:11].
Basi imekua ju yenu kwamba mutowe katika kichwa cha alicho kiwacha Dinar Alfu Mia Moja thumuni + Sudusi, Na Baki itimu kugawanywa kwa watoto wa aliekufa basi fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili sawa awe mtoto ananyonya ama mtu mkubwa basi hakuna tafauti baina yao katika fungu alicho kiwacha baba yao kitu, Lakini inampasa kwa yule atakae simamia kuwalea wadogo kwamba achukuwe kutokana na mali yao kwajili ya mavazi yao na chakula chao kwa wema ikiwa ni fakiri, Na akiwa ni tajiri basi ajizuilie na unira wake


[COLOR=#0000ff]ZENA

______________________


اقتباس المشاركة 4977 من موضوع مسائل في الميراث..




- 1 -

الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 06 - 1430 هـ
22 - 06 - 2009 مـ
09:11 مساءً
ـــــــــــــــــــ



مســــــــــائـل في الميـــــراث ..
بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..

أخي الكريم عبد الملك العولقي المُحترم، السلام عليكم ورحمة الله وبركاته، وما نرجوه من شخصكم الكريم توضيح سؤالك حتى يأتيك الردّ بالحق بإذن الله ومُرفقاً معه سُلطان العلم بالحقّ والحُجّة الداحضة للجدل، لذلك نرجو توضيح الأختين وتفصيل السؤال مُهمٌ لدينا، ويجب أن يكون السؤال مُبسطاً ومفهوماً لدى الجميع لكي يستفيد منه الجميع أخي الكريم، وشكراً..

أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــ
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..




اقتباس المشاركة 4978 من موضوع مسائل في الميراث..




- 2 -

الإمام ناصر محمد اليماني
29 - 06 - 1430 هـ
23 - 06 - 2009 مـ
09:59 مساءً
ــــــــــــــــــ



فتوى الإمام المهدي للسائل عبد الكريم العولقي..

اقتباس المشاركة :
بسم الله الرحمن الرحيم
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته جميعاً
وأشكر لكم جميعاً ترحيبكم
كما أشكر لكم تفضلكم بسرعة الإستجابه
وأخص بالشكر الجزيل الإمام ناصر محمد اليماني
وجواباً على طلبكم الكريم بالتوضيح أقول :
نعم ، أقصد أن المتوفاة إمرأه ، وليس لها من يرثها إلا زوجها وأختين لها من الأب والأم
أي أن الأخت الأولى أخت للمتوفاة من الأب والأم
وكذلك الأخت الثانية أخت للمتوفاة من الأب والأم
والمرأة المتوفاة ليس لها أبناء ولا بنات وأبويها توفيا قبل وفاتها ، والوارثون منحصرون في الزوج والأختين فقط .
فما مقدار مافرضه الله عز وجل للزوج في هذه المسألة ؟؟
وما مقدار مافرضه الله عز وجل للأختين في هذه المسأله ؟؟
ولكم جميعاً خالص التحية والتقدير
انتهى الاقتباس

بسم الله الرحمن الرحيم، سُبحان ربّك ربّ العزة عم يصفون، وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..

أخي الكريم السائل عبد الملك العولقي، السلام عليكم ورحمة الله وبركاته، السلام علينا وعلى جميع عباد الله الصالحين في الأوّلين وفي الآخرين وفي الملأ الأعلى إلى يوم الدين، وبالنسبة للفتوى الحقّ في نصيب الأختين فلكُلّ واحدةٍ منهما الرُبع من بعد وصيةٍ يُوصى بها أو دينٍ، وأمّا السُلطان من مُحكم القُرآن أنّ لكلّ واحدةٍ منهما الربع فاستنبطناه من خلال نصيب زوجها الذي جعله الله مُحكماً في القُرآن العظيم في قول الله تعالى:
{وَلَكُمْ نِصْفُ مَا تَرَكَ أَزْوَاجُكُمْ إِنْ لَمْ يَكُنْ لَهُنَّ وَلَدٌ}
صدق الله العظيم [النساء:12].

فبما أنّ نصيب زوجها الذي كتبه الله للزوج إذا ورث زوجته وليس لها ولدٌ فقسّم الله له نصف التركة من بعد وصيةٍ يوصى بها أو دينٍ وأما النصف الآخر فيذهب للوالدين، وبما أنّ والديها قد توفيا وليس لها إخوة بل أُختين اثنتين فقد كتب الله لهنّ النصف الآخر فلكلّ واحدةٍ منهما الربع من بعد وصيةٍ يوصى بها أو دينٍ من الميراث كاملاً، فمن بعد تنفيذ الوصية أو قضاء دين كان في ذمة المتوفية فالمُتبقي من التركة ينقسم إلى نصفين، فأمّا نصفٌ فيذهب لزوجها وأما النصفُ الآخر فيتمّ قسمته بين الأُختين فلكُلّ واحدةٍ منهما الربع.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوك الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..