✅ "Ardhi Ni Kituo Chamlipuko"
[ لمتابعة رابط المشـاركـــــــــة الأصليَّة للبيــــــــــــــان ] (https://albushra-islamia.com/showthread.php?p=47517)
الإمام ناصر محمد اليماني
26 - 07 - 1433 هـ
16 - 06 - 2012 مـ
02:40 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
الأرض مركز الكون في الكتاب المكنون، أفلا يؤمنون؟
Ardhi ni kituo cha ulimwengu kwenye kitabu Almaknun, Basi hawa'amini?
بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع أنصار الله الواحد القهار، وسلامُ الله على أحبتي الأنصار المبشّرين ببعث المهديّ المنتظَر ويجادلون البشر بالبيان الحقّ للذِّكر وينذرونهم مرور كوكب سقر لمن شاء منهم أن يتقدم أو يتأخر، أمّا بعد..
Bismillah Al'Ra7hman Al'Ra7him,
Na sala na salam kwa babu yangu Muhammad Mtume wa Allah na Alihi waliotwahirika na wote ma anssar wa Allah Alwa7hid Alqahar, Na salamu ya Allah kwa wapenzi wangu Alanssar wanao bashiri kwakutumilizwa Almahdi Almuntadhar na wanawajadili watu kwa bayana ya haki kwa utajo na wana waonya watu kupit kwa sayari ya saqar mwenye kutaka kati yenu atangulie ama achelewe, Amma ba3d..
Na ewe mwenye utafiti mwenye ukarimu, Anithabiti na Anikitishe Allah pamoja na wewe kwa njia ilio nyoka na waislamu wote. Na kuhusiana na fatwa yako kuwa maji ni ya mbinguni basi njo kwa 'jili tujuwe mwanzo wa mipaka ya mbingu zote kuanzia mbingu ambao ni karibu na Ardhi, Na utakuta jibu latoka kwenye hukmu ya kitabu katika kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ زَيَّنَّا السَّمَاء الدُّنْيَا بِمَصَابِيحَ وَجَعَلْنَاهَا رُجُوماً لِّلشَّيَاطِينِ وَأَعْتَدْنَا لَهُمْ عَذَابَ السَّعِيرِ}
صدق الله العظيم [الملك:5].
Allah Ta3ala Asema:{Na hakika tumipamba Mbingu ya Dunia kwa nyota zinao waka na tukazifanya kurushia mashetani na tumiwandalia adhabu ya sa3ir}Sadaqa Allah Al3adhim[Almulk:5],
Kwa maana pambo ya mbingu ya dunia ni nyota amezifanya Allah chini yake utaweza kuitakidi kuwa mvuwa yaja kutoka mbinguni ju ya nyota? Ama waadhani maji yatokana na sayari ingine iko karibu na Ardhi? Sema leteni ushuhuda wenu ikiwa ni wakweli,,
Na ewe mwanamume kwani hujuwi ile ndege inao ruka ju ya mawingu na mvuwa ya nyesha Na iko ju ya maji kwa mwawingu na kwanyesha haitoti ikiwa iko ju ya wingu la mvuwa? Ha'iji maji kutoka inje ya kifiniko ya Ardhi kwakuwa sababu za kuleta ni kutoka kwa Ardhi kutokan na bukhari ya bahari ilioko katika ardhi na upepo ndio inakuwa mawingu, Lakini maji yanatokana kutoka kwa Ardhi yenyewe wala sio kutoka sayari ingine imekuja maji yake, kwajili ya hivo Asema Allah Ta3ala:
{وَالْأَرْضَ بَعْدَ ذَٰلِكَ دَحَاهَا ﴿٣٠﴾أَخْرَجَ مِنْهَا مَاءَهَا وَمَرْعَاهَا ﴿٣١﴾}
صدق الله العظيم [النازعات
Allah Ta3ala Asems:{Na Ardhi ba'ada hapo da7haha(30)Na akatowa maji ndani yake na mar3aha(31)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnazi3at
Na amma kuhusu kwani Ardhi mama ni hakika kituo cha mlipuko wa ulmwengu? Na kwa akili na mantiki ile sayari ya kwanza ambayo itakuwa ni sayari mama kabla haijakuwa Mbingu zote na pambolake, Na utapata jawabu kuwa sayari ya kwanza kutokeza ni Ardi mama, Akasema Allah Ta3ala:
{قُلْ أَئِنَّكُمْ لَتَكْفُرُونَ بِالَّذِي خَلَقَ الْأَرْضَ فِي يَوْمَيْنِ وَتَجْعَلُونَ لَهُ أَندَادًا ذَلِكَ رَبُّ الْعَالَمِين(9) وَجَعَلَ فِيهَا رَوَاسِيَ مِنْ فَوْقِهَا وَبَارَكَ فِيهَا وَقَدَّرَ فِيهَا أَقْوَاتَهَا فِي أَرْبَعَةِ أَيَّامٍ سَوَاءً لِلسَّائِلِينَ(10) ثُمَّ اسْتَوَى إِلَى السَّمَاءِ وَهِيَ دُخَانٌ فَقَالَ لَهَا وَلِلْأَرْضِ اِئْتِيَا طَوْعًا أَوْ كَرْهًا قَالَتَا أَتَيْنَا طَائِعِينَ (11) فَقَضَاهُنَّ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ فِي يَوْمَيْنِ وَأَوْحَى فِي كُلِّ سَمَاءٍ أَمْرَهَا وَزَيَّنَّا السَّمَاءَ الدُّنْيَا بِمَصَابِيحَ وَحِفْظًا ذَلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ(12)}
صدق الله العظيم [فصلت
Allah Ta3ala Amesema:{Sema nyinyi hakika muna mkufuru yule ambae Aliumba Ardhi kwa siku mbili na munafanya anao Andadaa basi ndio alivo Mumbaji wa ulimwengu(9)Na akafanya ndani yake Majabali yamitokezea ju yake akaibariki ndani yake na akakadiria malisho yake siku in'ne sawa kwa waulizaji(10)Alafu akastawi kwa Mbingu nayo ni moshi akai'ambia pamoja na Ardhi mutajitokeza alhali mumitaka ama kwa kuchukia wakasema tutajitokeza nasi tumeti3i(11) aka kadhi Mbingu saba kwa siku mbili Aka'uw7hia kwa kila Mbingi
Amri yake Akapamba Mbingu ya dunia na Nyota zawaka na ni hifadha hivo ndio takdiri yake mwenye nguvu Al3aziz mwenye kudra Mwenye ilimu Al3alim(12)}Sadaqa Allah Al3adhim[Fussilat]
Siri ni nini kuwa Ardhi imikuwa kabla haijakuwa Mbingu zote Na mapambo yake kutokana na manyota na masyari?
Vile ni kwajili Ardhi mama ndio kituo cha "Alintifaq"milipuko wa ulimwengu na kwa ilimu na akili na mantiki hapana budi patakuwa kituo cha mvuto wa ulimwengu siri yake ni Sayari mama, Nisiwambie majama kama sayari mama haitoka katika nambari saba za ma Ardhi kwakuwa iko kati yao na ma Aradhi saba bada ya sayari mama, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{لِلَّهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الْغَنِيُّ الْحَمِيدُ (26) وَلَوْ أَنَّمَا فِي الأَرْضِ مِن شَجَرَةٍ أَقْلامٌ وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّهِ إِنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (27) مَّا خَلْقُكُمْ وَلا بَعْثُكُمْ إِلاَّ كَنَفْسٍ وَاحِدَةٍ إِنَّ اللَّهَ سَمِيعٌ بَصِيرٌ (28) أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَيُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ كُلٌّ يَجْرِي إِلَى أَجَلٍ مُّسَمًّى وَأَنَّ اللَّهَ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌ (29) ذَلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ هُوَ الْحَقُّ وَأَنَّ مَا يَدْعُونَ مِن دُونِهِ الْبَاطِلُ وَأَنَّ اللَّهَ هُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ (30)} صدق الله العظيم [لقمان].
Allah Ta3ala Asema:{Ni ya Allah kilioko Mbinguni na kwenye Ardhi hakika Allah yeye mwenye utajiri mwenye 7himdi((26)Na Lau ingekuwa kwenye Ardhi miti yote ni kalamu Na Bahari ni wino ifwatie bada yake bahari saba hainge malizika kalimatu Allah hakika Allah mwnye iz'za Hakimu(27)Hakuwaumba wala kuwafufuwa ila kama nafsi moja hakika Allah ni Mwenye Kusikia Mwenye Kuona(28)Hivi hujaona kuwa Allah anatowa usiku kutoka mchana na anatowa mchana kutoka usiku Na Akazifanya Juwa na Mwezi zote zinatembea mpaka kwa majaliwa ilio tajwa hakika Allah kwa yale munao yafanya anayo habari(29)Na hivo kwakuwa Allah yeye ndio Al7hak Na Yale wanao omba chini yake ni batili Na hakika Allah ndio alie jJuu mwenye ukubwa(30))}Sadaqa Allah Al3adhim[Luqman]
Na tunapata istinbat kwa undani hizi aya kauli ya Allah Ta3ala
{وَلَوْ أَنَّمَا فِي الأَرْضِ مِن شَجَرَةٍ أَقْلامٌ وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّهِ إِنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ}
صدق الله العظيم،
Allah Ta3la Asema:{Na lau ingekuwa kwa Ardhi miti yote ni makalamu Na Bahari ni wino bada yake ifwate bahari zaba haingeisha Maneno ya Allah hakika Allah ni mwenye Iz'za hakimu}Sadaqa Allah Al3adhim,Na amma dhahiri ya aya nayo yazungumzia kuhusu maneno ya Allah ambazo hizo ndio kudarazake kuwa hazina maneno ya kudra yake mipaka ama kufungika hakika yeye kwa kila kitu ana kudra "wahuwa bikulishei'n Qadir"mpaka haina mwisho hata kama atanfanya miti yote katika Ardhi ni makalamu Na Bahari yake ni wino ya makalamu Alafu tuandike kuwa yeye anauwezo wa kitu fulani na yeye ana uwezo na kitu fulani basi ingeisha Bahari ya Ardhi kabla haijaisha maneno ya kudra zake kwakuwa maneno ya kudra yake haina mipaka wala kufungika,Na Lau atazipa Ardhi saba bada ya Ardhi kwa bahari saba haingeisha maneno ya Allah 3uluwan Kabira,Na tunastanbit kwa undani kutokana na hi aya kuwa sehemu iliko ya ma Ardhi saba nayo nibada ya Ardhi yetu na hivo kutokamana na kauli ya Allah Ta3ala:
{وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّهِ إِنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Na Bahari ni wino na bada yake bahari saba haingeisha maneno ya Allah hakika Allah 3aziz 7hkim} Sadaqa Allah Al3adhim
Na labda huwenda kutaka kunikatiza mwnye utafiti wa haki na kusema:"Hivi hakuna Aya ina uwazi zaidi inatupa fatwa kuwa ma Ardhi saba kweli ziko bada Ardhi yetu? ", Na Alfu tunaliwacha jawabu kwake moja kwa moja Mola katika hukmu ya kitabu chake:
{اللّهُ الّذِي خَلَقَ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ وَمِنَ الأرْضِ مِثْلَهُنّ يَتَنَزّلُ الأمْرُ بَيْنَهُنّ لّتَعْلَمُوَاْ أَنّ اللّهَ عَلَىَ كُلّ شَيْءٍ قَدِيرٌ وَأَنّ اللّهَ قَدْ أَحَاطَ بِكُلّ شَيْءٍ عِلْمَا } صدق الله العظيم [الطلاق:12 ].
Allah Ta3ala Asema:{Allah Ni Yule Ambae ameumba Mbingu saba na kwenye Ardhi kama hizo inateremk Amri katiyao ili mujuwe hakika Allah ana uwezo wa kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Altalaq:12]
Na ni nini hio amri inashuka kutoka kwake Ta3ala?Na jawabu utalipata katika hukumu ya kitabu:
فَاصْدَعْ بِمَا تُؤْمَرُ وَأَعْرِضْ عَنِ الْمُشْرِكِينَ (94)}
صدق الله العظيم [الحجر].
Allah Ta3ala Asema:{Na utangaze yale ulio amuriwa na uwapemgongo mushrikina(94)} Sadaqa Allah Al3adhim[Al7hajar]
kwa hivo hio amri ni amri ya Alquran Al3adhim inamteremkia ju ya alio khitimisha Manabi na Mitume kwenye kituo ya kituo, Kwahio Ardhi yetu yatoka inje ya nambari saba katika idadi ya ma Ardhi saba kwajili ya Ma Ardhi saba zimitundikwa katika anga bada ya Ardhi mama, kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{اللّهُ الّذِي خَلَقَ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ وَمِنَ الأرْضِ مِثْلَهُنّ يَتَنَزّلُ الأمْرُ بَيْنَهُنّ لّتَعْلَمُوَاْ أَنّ اللّهَ عَلَىَ كُلّ شَيْءٍ قَدِيرٌ وَأَنّ اللّهَ قَدْ أَحَاطَ بِكُلّ شَيْءٍ عِلْمَا}
صدق الله العظيم [الطلاق:12].
Allah Ta3aka Asema:{Allah yule Ambae Amiumba Mbingu saba na kwenye Ardhi kama hizo inateremka amri kati yao ili mujuwe kuwa Allah ana kudra kwakila kitu na Allah tayari amizunguka kila kitu na ilmu yake} Sadaqa Allah Al3adhim[Altalaq:12]
Na kwa vile kuwa habari katika hukmu ya kitabu watakuja kuipata "Ahlu Al3ilmi" wana sayansi katika waqi3 mambo yanao tendeka hakika tayari ashawafunulia kuonesha wao kabla hawajaigunduwa leo katika zama za mwisho, kwajili ya hivo amewazungumzia Allah ta3ala kwa hoja hi katika waqi3 hakika hivi tonavo ishi tukiona Akasema:
{لّتَعْلَمُوَاْ أَنّ اللّهَ عَلَىَ كُلّ شَيْءٍ قَدِيرٌ وَأَنّ اللّهَ قَدْ أَحَاطَ بِكُلّ شَيْءٍ عِلْمَا}
صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Ili mujuwe kuwa Allah ana qudra kwa kila kitu na Allah tayari ashazugusha kwa kila kitu ilmu yake} Sadaqa Allah Al3adhim,
Na watajuwa siku itakapo pita sayari ya saqar chini ya ma Ardhi saba pamoja nakujuwa kwao sasa kwa kuweko sayari saba ba'ada ya Ardhi yetu lakini wao kwa haki wanachukia, Na wataenda kujuwa watapindukiwa wapi penye kupindukia, Na mwisho ni ya wachaji wa salam ju ya mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Na labda anataka kunikatiza moja katika waulizaji na kusema: "Taratibu Taratibu Ewe Nasser Muhammad usikhitimishe hi bayana kabla hujaja na burhan ushuhuda inao bainika kuwa kituo cha mvuto ya ulimwengu ni kweli inatimia siri yake kwa Ardhi mama ambao wanaishi ju yake majini na watu", Na Alafu tunawacha jawabu kutoka kwa Mola moja kwa moja kutoka hukumu ya kitabu, Amesema Allah Ta3ala:
{إِنَّ اللَّهَ يُمْسِكُ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضَ أَنْ تَزُولا وَلَئِنْ زَالَتَا إِنْ أَمْسَكَهُمَا مِنْ أَحَدٍ مِنْ بَعْدِهِ إِنَّهُ كَانَ حَلِيمًا غَفُورًا} صدق الله العظيم [فاطر:41
Amesema Allah Ta3ala:{Hakika Allah Anshika mbingu na Ardhi kuondoka na ikiondoka hakika hatoshika mtu ba'ada yake yeye alikuwa ni 7haliman Ghafuran} Sadaqa Allahu Al3adhim[Fater:41]
Kwa maana anaishika mbingu zote saba na mapambo yake na Ardhi saba na miyezi yake kuondoka kulekea kwa Kituo cha mvuto ya ulimwengu ikanguka ju ya kituo cha Ardhi mama kituo cha"Alinfitaq"Mlipuko wa ulimwengu,.
Na labda anataka moja wa waulizaje kusema: "Na nini burhan yako ilio wazi kwa Alquran Al3adhim kuwa anakusudia kuanguka Mbingu ju ya Ardhi Ambao wako watu ju yake, Na labda akusudia sayari ingine mbali na Ardhi ya watu? Na tunawcha jibu moja kwa moja kutoka kwa Mola kwa hukumu ya kitabu, Asema Allah Ta3ala:
{وَيُمْسِكُ السَّمَاءَ أَنْ تَقَعَ عَلَى الْأَرْضِ إِلَّا بِإِذْنِهِ إِنَّ اللَّهَ بِالنَّاسِ لَرَءُوفٌ رَحِيمٌ}
صدق الله العظيم [الحج: 65].
Allah Ta3ala Asema:{Na anaishika Mbingu isianguke ju ya Ardhi ila kwa idhini yake hakika Allah kwa watu ni Rauf ra7im}Sadaqa Allahi Al3adhim[Al7aj:64]
Na yeye Akusudia kuanguka Mbingu ju ya Ardhi ambao iko ndani yake kituo cha kivutio cha ulimwengu, Na hio ni Ardhi Inao ka watu ila atake Allah lau kama si Ra7hma yake kwa waja wake wema inge'anguka Mbingu ju ya Ardhi kituwo cha mvutio ya ulimwengu, Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَيُمْسِكُ السَّمَاءَ أَنْ تَقَعَ عَلَى الْأَرْضِ إِلَّا بِإِذْنِهِ إِنَّ اللَّهَ بِالنَّاسِ لَرَءُوفٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم [الحج:65].
Allah Ta3ala Asema:{Na Anashika Mbingu isianguke ju ya Ardhi ila kwa idhini yake hakika Allah kwa watu ni Rauf Ra7him}Sadaqa Allah Al3adhim[Al7haj:65]
Na ewe mwenye utafiti wa haki,hakika tumekujia na burhan ilio bainika kutoka kwa hukmu ya kitabu kwa swali lako ukumbusho kwa wenye Akili,Na hato kumbuka watu wa kufwata kama kipofu haoni afwata tu yeye bila kutumia Akili yake wale Ambao wakipotea na wao wamipotea nyuma yao;Bali Atakae kumbuka"ulil Albab"wenye Akili wana hukumu Akili zao na Alafu ndio wanafwata haki kutoka kwa mola wao ikiwa imibainika kwao bada ya "kutadabar" kupeleleza kwa kina na kufkiria kuwa tamko la haki na yaongoza kwa njia ilio nyoka,
Na Ama watu wa ja7him wenye kufwata kifwato cha upofu wao ni qaum hawati akili bali wanafwata salaf yao wale walio tangulia kabla yao kufwata kifwato cha kipofu bila kutumia akili zao kitu mpaka pindi imitengana haki wakaongozwa kwa njia ya ja7him ikabainika kwao sababu kupotea kwao ni kuto tumia Akili na mantik usawa kwa yale walio yakuta kwa salaf yao wale walio tangulia, kwa jili ya hivo wamesema, Allah Ta3ala Asema:
{وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ}
صدق الله العظيم [الملك:10].
Allah Ta3ala Asema:{Wakasema lau tunge kuwa twasikia ama twatia Akili hatungekuwa katika watu wa Alsa3ir}Sadaqa Allah Al3adhim[Almulk:10]
Naa Wallah yule Ambae hapana Mola ispokuwa yeye hakika Bayana ya Alimam Almahdi kwa Alquran inachalenj nayo Akili na hato tadabar kupeleleza kwa kina mwenye Akili akatumia Akili yake ispokuwa ataona Akili yake ina'angukia haki kutoka kwa Mola wake na inakubali ila ai3asi Akili yake mwenyewe, Na mwenye kuoasi Akili yake basi "zagh" kutokana na haki bada ya kukubaliana nayo akili yake Akasena Allah Ta3ala:
{وَمَا كَانَ اللَّهُ لِيُضِلَّ قَوْمًا بَعْدَ إِذْ هَدَاهُمْ حَتَّىٰ يُبَيِّنَ لَهُمْ مَا يَتَّقُونَ ۚ إِنَّ اللَّهَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ}
صدق الله العظيم [التوبة:1
Allah Ta3ala Asema:{Na haikuwa kwa Allah awapoteze qaum bada pindi alipo waongoza mpaka awabainishie wao kile wanacho kiugopa hakika Allah kwa kila kitu ni mwenye kujuwa}Sadaqa Allahu Al3adhim:[Altawuba:115],
Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَيُمْسِكُ السَّمَاءَ أَنْ تَقَعَ عَلَى الْأَرْضِ إِلَّا بِإِذْنِهِ إِنَّ اللَّهَ بِالنَّاسِ لَرَءُوفٌ رَحِيمٌ}
صدق الله العظيم [الحج:65].
Akasema Allah Ta3ala:{Na Anaishika mbingu isianguke ju ya Ardhi ila kwa idhni yake hakika Allah kwa watu ni Raufun Ra7him}Sadaqa Allah Ala3adhim[Al7haj:65]
Na salam ju ya mitume Na Al7hamdulillah Rabi Al3alamin..
ndugu yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ