Alwasila
- 1 -
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 9 - 1430 هـ
12 - 9 - 2009 مـ
10:23 مساءً
Anarudisha Jibu Alimam Almahdi Kwa Nduguyangu Alamiri: Hivi hujuwi kua (Alwasila) Ni daraja karibu kwa Arshi ya Al'Rahman katika Bustani ya Juu kwenye Janat Al'Na3im?
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 9 - 1430 هـ
12 - 9 - 2009 مـ
10:23 مساءً
ـــــــــــــــــــــ
مصدر البيان: [url]https://albushra-islamia.com/showthread.php?t=1969]
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wasalam- Na Alihi Walio tubu walio tahirika na walio wafwata Kwa Haki mpaka siku ya kiyama, Na Salama Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
[LEFT][SIZE=5]Alsalam Alekom Ndugu yangu Mkarimu Al'Amri Wa Rahmatu Allah wa Barakatuhu, Basi nimezuwia Hasira zangu katika moyo wangu kwajili ya Mola Mlezi Wangu na nime'kuafu nafaka kutoka kwangu kujikurubisha kwa Allah na kua na tama ya mapenzi yake na kua karibu kwake na jee wajua kwanini? na hivo kwajili mimi Najua kua nafaka kuu na ambao anaipenda zaidi Allah kwenye kitabu ni kumsamehe alie kudhulumu Akakufanyia ubaya bila ya haki, Na ameulizwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam kuhusu Nafaka Kuu Zaidi Kwa Allah alafu ikaja Bayana Ya Haki kutoka kwa Al'Rahman katika Muhakam Al'Quran, Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَسْأَلُونَكَ مَاذَا يُنْفِقُونَ قُلِ الْعَفْوَ كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمُ الْآَيَاتِ لَعَلَّكُمْ تَتَفَكَّرُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:219]،
Allah Ta3ala Asema:{Na Wanakuliza Nini watoe Sema (Alaafu) Kusamehe hivo ndio anawabainishia Allah kwenu Aya Zake Huwenda Mukatafakari} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:219].
Na Tayari Nimekuafu Kwajili ya Uso Wa Allah Na Udhuru kwa Mola Mlezi Wako na huwenda ukawa ni katika wachaji.
Na ewe ndugu mkarimu akubariki Allah umim'sifa Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli kua anamkufuru Allah na kua yeye ni Dajal na kua ni Mrongo na ni muharibifu na ni fasiki ndio waninasihi kua nitubu kwa Allah ! Alafu anakurudishia jibu juu yako Al'Mahdi Al'Muntadhar na nakwambia wewe: Lakini hivi si uniongoze basi ewe ndugu mkarimu kwa njia ambao unaiona ni ya kweli kuliko njia ya Almahdi Almuntadhar, Sharti kua unikinaishe kwa ilimu kutoka kwa Allah na kadhalika unibainishie kwangu mimi uhalifu upi nilio ufanya ambao hausamehewi katika mtazamo wako ambao ameufanya Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani ili nijuwe aibu zangu na ukafiri wangu kulingana na fatwa yako kwangu? Basi nijulishe nazo akuhidishe Allah kwenye haki na kwa kila ulinganizi kuna (burhan) Ushuhuda, Basi nilete ushuhuda wako kutoka kwa Al'Rahman na unihoji kwa ilimu na utawala lakini ikiwa hukupata katika Bayana Za Nasser Muhammad Al'Yamani yale ylio msifu nazo basi utakua umijua kua wewe umemzulia Alimam Nasser Muhammad Al'Yamani na umemdhulumu kwa Yale Hakuyafanya Wala Hakuyasema ! Na Ewe Ndugu Mkarimu jee kwani nimewalingania kwa kumkufuru Allah? Bali nimewalingania waislamu na watu wote kua kumabudu Allah pekeyake hana mshirika na yeye na kua wasizidishe juu ya waja wake waliokirimiwa katila ma Nabi na Mitume wakamfanya Allah ni wa Ma Nabi Na Mitume Peke ili washindane juu yake pekeyao yupi atakua karibu, Na nawambia wao:" basi ikiwa wanampenda Allah basi juu yao kua wamfwate Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam- washindane juu ya Mola Mlezi Wao yupi atakua karibu zaidi.
Na ewe Al'amiri, Na wajuwaji ingekua utaitikia kwa ulinganizi wa kweli kwenye njia Ya Al3aziz Al'Hamid akufanye Allah kipenzi kuliko Almahdi Al'Muntadhar Khalifa wa Allah Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani ! Na Hata kama Al'Mahdi Al'Muntadhar khalifa wa Allah lakini yeye sio ispokuw ni mja katika waja wa Allah yeye ni kama wewe lakini hakua Allah ni wake pekeyake pasi na watu wema, Na yule hatoshindana Na Al'Mahdi Al'Muntadhar khalifu wa Allah katika Kumpenda Allah na ukuruba wake kwajili yeye anaona kua Allah Subhanahu wa Ta3ala yeye ni awula kwa Almahdi Almuntadhar basi amemshirikisha Allah na amezidisha bila ya haki juu ya Al'Mahdi Al'Muntadhar na wala hatomsaidia Al'Mahdi Al'Muntadhar mbele ya Allah kitu, Wala hajampa Allah amri Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua awe ni katika waislamu wala hana tafauti mbele ya mikono ya Allah ila kwa Taqwa na vitendo vema, Na hivo hivo amewamuru Allah wote Ma Nabi Na Mitume kua wasifanye kushindana kwa Allah ni yao pekeyao pasi na waislamu kwakua wao ma Nabi wa Allah Na Mitume Wake ! Hapana na tena Hapana; Bali amewamuru Allah wawe miongoni mwa waislamu katika waislamu haki yao juu ya Mola Mlezi na ni ile haki ya waislamu juu ya Mola Mlezi wao kutokana na Haki, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَإِن تَوَلَّيْتُمْ فَمَا سَأَلْتُكُم مِّنْ أَجْرٍ ۖ إِنْ أَجْرِيَ إِلَّا عَلَى اللَّـهِ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُسْلِمِينَ} صدق الله العظيم [يونس:72].
Allah Ta3ala Aesema:{Na Mukigauka basi sikuwauliza ujira hakika ujira ispokua juu ya Allah na Nimiamirishwa niwe miongoni mwa waislamu} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:72].
Na wala haku'wamuru Allah kua walinganie watu kwa kuwabudu wao na kuzidisha juu yao bila ya haki na hakika wao ni waja Wa Allah kama nyinyi wanataka kwa Mola Mlezi wao (Alwasila) Yupi katika wao yuko karibu lakini wanashindana juu ya Mapenzi yake na ukuruba wake, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ عَنكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا ﴿٥٦﴾ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ﴿٥٧﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema:{Sema waombeni wale ambao mumedai pasi na Yeye Lakini hawamiliki kuwaondoshea madhara wala kugeuza (56) hao ambao wanaomba wanataka kwa Mola Mlezi wao Al'Wasila Yupi ni karibu na wanataraji Rahma yake na wanaogopa adhabu yake hakika adhabu ya Mola Wako Mlezi mahdhuran (57)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].
Hivi hujuwi kua ( Alwasila ) ni Daraja ilio karibu kwa Arshi Ya Al'Rahman katika ukingo wa juu katika Janat Al'Naim wala haitakiwi ispokua iwe ni ya mja katika waja wa Allah na akamfanya Allah Huyo mja hajulikani baina ya waja ni yupi? Na hikma yake kutokana na hilo ni kwajili itimu kushindana katika Mapenzi ya Allah na ukuruba wake kwa waja wake wote waislamu iwe sawa ni katika mitume ama watu wema yupi katika wao alio karibu ili wamwabudu Allah pekeyake hana mshirika na yeye, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ وَجَاهِدُوا فِي سَبِيلِهِ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ} صدق الله العظيم [المائدة:35].
Allah Ta3ala Asema:{ Enye Mulio Amini Mcheni Allah Na Mutake Kwake Alwasila Na mujitahidi katika Njia ya Allah huwenda Mukafaulu} Sadaqa Allah Al3adhim: [ Almaida:35].
Na Ujuwe Ispokua inaitwa Alwasila kwajili sio Mwisho, lakini wewe pindi Ukamwacha Allah Ni Wa Ma Nabi na Mitume peke ili washindane Juu yake pekeyao Na unaona kua hustahiki sio haki kwako kua ushindane na wao kwa kumpenda Allah na kutaka kua karibu kwake basi ujuwe kua wewe umemshirikisha Allah na umezidisha Juu ya Waja Wake walio kirimiwa bila Ya Haki, Basi Hakika wao ni waja wa Allah kama Nyinyi lakini hakuna Tafauti Kwa Allah wala Hakuna Kupendelea kwake Ametukuka Baina Ya Waja Wake, Na Aksema Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّـهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّـهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ} صدق الله العظيم [الحجرات:13].
Allah Ta3ala Asema:{ Enye Watu Hakika Tumekumbeni kutokana Na Mwanamume Na Mwanamke na tukawafanya mataifa na makabila ili mujuwane hakika Mbora Wenu kwa Allah Mcha'Mungu zaidi kwenu hakika Allah Ni Mjuzi Mwenye Kujua} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhujurat:13].
Lakini Allah Usimwachie Al'Mahdi Al'Muntadhar Wala Kwa Ma Nabi Na Mitume; Bali shindana Na Sisi Kwa Kumpenda Allah Na kua Karibu nae Ikiwa wewe hakika unampenda Allah Zaidi kuliko ma Nabi Wake Na Mitume Wake Na Zaidi Kuliko Al'Mahdi Al'Muntadhar Basi Kua Mkweli Kwa Allah Atakusadiki lakini ispokua Sisi Ni Waja Wa Allah kama Nyinyi tunawalingania Kwa Kumwabudu Allah pekeyake hana mshirika na yeye wala hatusemi kwenu kuweni waja wetu pasi na Allah na mutake shafaa Kwetu kwa Allah Na tunajilinda kwa Allah Na Ghadhabu Za Allah; Bali Anawamuru Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa yale alio wamuru nayo ma Nabi Na Mitume kua muwe Waja Wa Allah Watu wa mungu mushindani na sisi kumpenda Allah na kua karibu nae ikiwa nyinyi munampenda Allah basi fwateni ulinganizi wa kumwabudu Allah peke yake hana mshirika na yeye ile alio kuja nayo Muhammad Mtume wa Allah sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam na wote Mitume kutoka kwa Mola Mlezi Wao, Na mushindane enyi waja wa Allah katika mapenzi yake na ukuruba wake ikiwa nyinyi munamwabudu Yeye, Na Akasema Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ لِبَشَرٍ أَن يُؤْتِيَهُ اللَّـهُ الْكِتَابَ وَالْحُكْمَ وَالنُّبُوَّةَ ثُمَّ يَقُولَ لِلنَّاسِ كُونُوا عِبَادًا لِّي مِن دُونِ اللَّـهِ وَلَـٰكِن كُونُوا رَبَّانِيِّينَ بِمَا كُنتُمْ تُعَلِّمُونَ الْكِتَابَ وَبِمَا كُنتُمْ تَدْرُسُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:79]،
Allah Ta3ala Asema:{[B]